
Harmonize Awafunika Diamond, Mbosso Kusikilizwa Zaidi Boomplay
Wakati mwaka 2023 ukielekea ukingoni, mtandao wa kustream muziki wa Boomplay, umetoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kusikilizwa zaidi kupitia mtandao huo.
Maudhui ya muziki yaliyopendwa zaidi kwa 2023 kupitia App ya Boomplay ni…
G Nako x Diamond Platnumz – Komando (Official Music Video)
MKALI wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Weusi, George Sixtus Mdemu ‘G Nako’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa Komando ambao amemshirikisha Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania .
Diamond Platnumz Ashinda Tuzo za MTV EMA Kipengele Cha Best African Act.
Msanii wa Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo amewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuibuka mshindi katika Tuzo za MTV EMA katika kipengele cha Best African Act.
Katika kipengele hicho, Diamond alishindanishwa na wasanii wakubwa…
#Exclusive: Mwarabu Fighter Kwa Mara Ya Kwanza Akiri Kummisi Diamond – “Mke Wangu Aliuza…
Baunsa aliyewahi kupata umaarufu kwa kumlinda staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake huku akieleza kwamba ana uzito wa kilo 118.
Kampuni ya Ziiki Media Yamkana Diamond, Yasisitiza Siyo Mmiliki Wala Hana Hisa
Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba staa wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ndiye mmiliki wa Kampuni ya Usambazaji wa Muziki ya Ziiki Media, Meneja wa kampuni hiyo, Camilla Owora ametoa ufafanuzi.
Akizungumza na…
Baba Levo ft Diamond Platnumz – Amen (Official Video)
Msanii na Mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo ameachia wimbo wake wa Ameni amemshrikisha Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz
#Exclusive: Dinamite Binti Anayeishi Itali – ”Diamond Nampenda, Kupika Sijui Ila Kula…
Binti mdogo wa Kitanzania anayeishi nchini Italia, anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya, Namite Liesbeth Selvaggi @dinamite_tz amesema bado ndoto za kukutana na staa wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz ziko palepale…
Diamond Platnumz – Overdose (Official Lyric Audio)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia wimbo wake wa Overdose.
Shetta Afichua Mazito Ugomvi Wake Na Diamond, Auponda Muziki Wa Amapiano – Video
Staa wa kitambo wa Bongo Fleva, Shetta 'Baba Kayla', amefunguka kwamba siyo kwamba anawakataza wasanii wa Bongo Fleva kuimba Amapiano lakini kwa mtazamo wake, muziki huo umekuwa 'too much' kiasi cha kutishia kuipoteza Bongo Fleva.
Shetta…
Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Achii! amemshirikisha Koffi Olomide.
Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Tuna Kikao (Official Music Video)
MKALI wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Abdul ‘Lavalava’ ameachia video ya ngoma yake mpya ya Tuna Kikao kamshirikisha bosi wake staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz.
Jux Ft Diamond Platnumz – Enjoy (Official Video)
STAA wa Bongo Fleva, Juma Jux , ameachia video yake ya 'Enjoy' ambayo kamshirikisha supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz feat Chley – Shu! (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Shu!
#Exclusive Video: Chino Afunguka Alivyotrend – ”Msinigombanishe Na Diamond,…
Msanii aliyejizolea umaarufu kwenye mitandao ya kijamii @chinokidd7 kutokana na kazi zake amefunguka na kuelezea jinsi ambavyo anamkubali msanii Ali Kiba huku akisema kwamba Ali Kiba ni msanii mkubwa ambaye anapendwa na watu wengi na…
Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kiingereza Afunguka Jinsi Ilivyo Rahisi Kujifunza Lugha Hiyo
Mwalimu aliyepata umaarufu kwa kumfundisha staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz Kiingereza, Allen Ngonyani almaarufu Teacher Allen amefunguka kuwa ni rahisi kwa mazingira ya Tanzania mtu kujifunza Kiingereza kwa muda mfupi na kuwa na…
Kutana na Teacher Allen, Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kuongea Kiingereza
Haina ubishi kwamba kwa sasa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Juma almaarufu Diamond Platnumz anatema ung'eng'e safi kabisa tofauti na kipindi wakati anaanza muziki.
Lakini je, unajua ni nani aliyepo nyuma yake? Mwamba huyu hapa! Anaitwa…
Harmonize Ampongeza Diamond Kwa Kuiga Mtindo Wake Wakati Akichugua Mpenzi Mpya -Video
Bosi wa Lebo ya Konde Gang, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize au Konde Boy anaonekana kupendezwa mno na anayedaiwa kuwa mpenzi mpya wa bosi wake wa zamani aliyegeuka kuwa hasimu yake mkuu kimuziki, Diamond Platnumz.
Hivi majuzi,…
Christina Shusho Afunguka Kupendwa Sana Na Watu, Ampa Sifa Diamond – Video
Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho amesema staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ni mtu poa sana, msikivu na ambaye muda wote yupo tayari kuwasaidia wengine.
Rais Samia Awateua Diamond Na Shilole Kuwa Wajumbe Wa Baraza La Kupambana Na Malaria-Video
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Susulu Hassan amewateua baadhi ya wasanii wakiwemo Diamond Platnumz, Shilole na wengine kadhaa kuwa wajumbe na mabalozi wa kupambana Ugonjwa wa Malaria.
Uteuzi huo umetangazwa na Waziri…
Tanasha Donna Afichua Ishu Ya Kuchumbiwa Baada Ya Kuondoka Nyumbani Kwa Diamond
Mwimbaji wa Kenya, Tanasha Donna amefichua kwamba ameombwa ndoa na mwanaume ambaye hajamuweka wazi.
Katika moja ya posti zake za hivi karibuni kwenye Mtandao wa Instagram, mpenzi huyo wa zamani wa staa wa muziki wa nchini Tanzania,…
Tanasha Donna na Diamond Platnumz ‘Mondi’ Wazua Gumzo, Zari Atajwa
ETI umewahi kusikia uhawara hauna talaka? Kwa mbaliiii sanaaaa inawezekana ikawa kweli! Maana ujio wa mwimbaji Tanasha Donna kutua jijini Dar es Salaam na kujiachia kimahaba nyumbani kwa mzazi mwenzake Diamond Platnumz ‘Mondi’ kumezua…
Mapito ya Imelda wa Global Tv, Kutimuliwa Na Walinzi Wa Diamond, Ugomvi Na Wema, Miaka 21 Ofisini..…
KWENYE MAPITO ya GLOBAL TV, Mtangazaji Zari Mapito amepiga stori na mtangazaji nguli na mwandishi wa magazeti wa siku nyingi nchini Tanzania, Imelda Mtema aliyejizolea tuzo kadhaa kutokana na umahiri wake kwenye tasnia ya habari. Imelda…
‘Yatapita’ Yamuweka Simorix The General Meza Moja na Diamond
Imekuwa ni kawaida kwa msanii Naseeb Abdul, 'Diamond Platnumz' kugawa fursa mbalimbali pindi anapoachia wimbo wake mpya ila hii utapita imekuwa tofauti.
Diamond Platnumz ndani ya mwaka huu tayari ameachia ngoma mbili zinazosumbua…
Diamond Platnumz – Yatapita (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Yatapita.
Diamond Platnumz, Alikiba Bifu Jipyaaa 2023 Kisa Sallam SK Kuweka…
Mwaka huu 2023 kiburudani ulifunguliwa kwa ;’uchokozi’ wa Uongozi wa Wasafi Classic Baby (WCB) kumtibua na kumkasirisha Msanii Alikiba.
Msanii Alikiba alionyesha kuchukizwa na kile walichofanya meneja wa Diamond Platnumz na WCB…
Diamond Ahusishwa Manara Kuachana Na Mkewe, Mwenyewe Afunguka – “Hili Nalo…
Bosi wa WCB, Diamond Platnumz amemliwaza msemaji wa klabu ya Yanga SC YA nchini Tanzania, Haji Manara kufuatia madai ya kuachwa na mke wake wa pili.
Siku za hivi karibuni, Manara amekuwa akionekana na mke wake wa kwanza pekee,…
Diamond Platnumz Afunguka Tetesi za Kumtenga Dyllan Aliyezaa Hamisa Mobeto
Diamond Platnumz; ni msanii mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya tetesi za mitandaoni kwamba anamtenga mtoto Dyllan aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto.
Diamond amesema kuwa, anaumizwa namna…
Diamond Platnumz – Chitaki (Official Audio & Lyric Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye ni mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) leo Desemba 23, 2022 ameachia wimbo wake mpya wa Chitaki.
Video: Harmonize Amuangushia Kajala Jumba Bovu, Ndoa Ya Diamond Na Zuchu Yayeyuka | Hotpot
Usikose kipindi hiki cha HOTPOT kinachoruka kila JUMATATU na JUMATANO kuanzia saa 10:00 hadi 11:30 jioni kisha IJUMAA kuanzia saa 7:00 hadi 8:30 mchana. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/…
Diamond, Zuchu, Harmonize, Nandy Wang’ara Kwa Kusikilizwa Zaidi BoomPlay
Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka…
Exclusive: Masha Love Ajilipua – “Zuchu Hana Shepu, Mimba Yangu Ipo Kifuani, Diamond…
KWENYE EXCLUSIVE za IMELDA MTEMA zinazoruka kila wiki ndani ya Global TV amepiga stori na Masha Love; mrembo aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na muonekano wake na kujichetua kwake... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO…
Mshtuko Msanii Diamond Platnumz Kuacha Muziki, Mashabiki Wafunguka Mazito!
UAMKIE muziki, uheshimu muziki siyo mwepesi kama unavyofikiria unaweza kuishi nao milele, Ijumaa linakupa kiyo ichukue ikusaidie.
Msanii Diamond Platnumz amenyoosha mikono kwa kusema:“Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa…
H-Baba Alia Akiongelea Mikataba ya Harmonize Amkataa Diamond Aruka na Kiba – Video
MSANII mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, H Baba ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga chozi wakati akizungumzia mikataba wanayosaini wasanii katika Lebo ya Konde Gang iliyo chini ya Harmonize.
H Baba…
Harmonize Kama Diamond Tu! Wachambuzi wa muziki Wafunguka Utunzi wa Mashairi
MSANII wa miondoko ya Bongo Fleva Harmonize ‘Harmo’, anabaki kuwa mmoja wa wanamuziki bora kwa utunzi wa mashairi na ni bora kwa melodi na kwenye kugeuza matukio kuwa nyimbo. Huyu ni mtunzi mzuri.
Wachambuzi wa muziki wa kizazi kipya…
Yaliyotabiriwa Yatimia Penzi la Diamond na Zuchu, Babu Tale Atoa Tamko
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye ni mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ambaye hatimaye yale yaliyotabiriwa kuwa hawezi kumuoa msanii wake, Zuchu, yametimia.
…
Burna Boy Si Wa Mchezo, Diamond Akasome, Sasa Kushusha Kitu na Dj Khaled
MSHINDI wa Tuzo ya Grammy kutoka pande za Nigeria, Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy tayari amezama Studio na Producer maarufu ulimwenguni na mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Khaled Mohamed Khaled ‘DJ Khaled’.
…
Mashabiki wa Muziki: Zuchu Amzalie Haraka Diamond Kama Anataka Mali
Kama ilivyo kawaida, baada ya picha kuibuka mitandaoni ikionesha jumba ambalo lilisemekana kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz nchini Afrika Kusini, chawa wake Baba Levo amezungumza.
Itakumbukwa wiki jana picha hizo…
Siri Diamond Kununua Jumba la Kifahari Jirani na Zari Yafichuka
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye Oktoba 4, 2022, kwa mara ya kwanza alionesha jumba lake la kifahari lililopo nchini Afrika Kusini.
Diamond au Mondi ambaye ni mzaliwa wa Tandale jijini Dar,…
Mtoto wa Hamisa Mobeto Ampa Laana Diamond Platnumz… Kisa Kipo Hapa
Dyllan; ni mtoto wa mastaa wawili wakubwa nchini Tanzania, Diamond Platnumz na Hamisa Mobeto ambaye anadaiwa kumpa laana baba yake huyo.
Hii ni baada ya kusemekana kwamba, tofauti na wanawe wengine, lakini yeye Diamond na…