The House of Favourite Newspapers
gunners X

Harmo asakwa kwa deni la mamilioni

DAR: Mambo si mambo kwa mkali wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, inadaiwa kuwa kuna jamaa wanamsaka kwa deni la mamilioni ya fedha huko Mombasa nchini Kenya, IJUMAA linakupa mchapo kamili. ALIKWENDA KUFANYA SHOO…

Mpoki Fedha Inaongea!

FEDHA inaongea! Wakati baadhi ya wale wasiojituma kufanya kazi kwa bidii wakilia njaa, hali ni tofauti mno kwa mchekeshaji maarufu Bongo ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi cha Ubaoni kinachoruka kupitia Radio Efm, Sylvester Mujuni ‘Mpoki’,…

Ebitoke aapa kumzalia Mlela

YA Mungu mengi! Ukimsikia komediani Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ utacheka, maana mwenyewe ameapa kumzalia mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa kiume wa Bongo Movies, Yusuf Mlela. Ebitoke ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa,…

WELLU AMKINGIA KIFUA STEVE

MTU na chake! Mwigizaji mwenye umbo matata kunako Bongo Muvi, Wellu Sengo ‘Matilda’ ambaye amezaa na komediani Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemkingia kifua mzazi mwenzake huyo kwa kusema haoni tatizo kwa mambo yake anayoyafanya…

WASANII VIJANA MATAJIRI BONGO

TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno kwenye sayari hii ya dunia.  Kwa sasa vijana wetu wanapenyeza na kulishika soko hasa la muziki Afrika…

WASANII WALIOVUMA, WAKASANDA

UNAWAK-UMBUKA jamaa wawili waliokuwa wakiunda Kundi la Uswahilini Matola kutoka jijini Mbeya? Unaikumbuka ngoma yao ya Kosa la Marehemu? Unayakumbuka makundi kama University Corner (UVC) lililobamba na ngoma kibao kama vile Tisheti na…

STEVE: TUUNGANE KUWAOMBEA WENZETU

MWIGIZAJI na komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wote kwa jumla bila kujali wa muziki au filamu kuwa pamoja kumuombea msamaha msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama ambaye mpaka sasa yupo kituoni kwa kosa…

UTAPELIMKUBWA 40 YA MZEE MAJUTO

AMA KWELI kufa kufaana! Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema endapo yatakufikia madai ya utapeli mzito unaofanywa na baadhi ya watu wakiwemo wasanii wa kuchangisha pesa kinyume na taratibu wakidai eti ni kwa ajili ya kufanikisha 40 ya…

Mzee Majuto Ampa Tano Ngubilu

KOMEDIANI lejendari Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amesema kuwa mwaka 2018 ameibuka kivingine baada ya kujikita kwenye sinema za action huku akimpa tano mwigizaji anayecheza naye kwa sasa, Maurus Laurent ‘Ngubilu’. Mzee…

Steve Nyerere Alia na Majungu

KOMEDIANI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amelia na majungu kuwa, kama wasanii wa Bongo Movies wangeya-punguza, basi wangesonga mbele. Steve aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kama wasanii wengi wangekuwa makini katika vitu…

KIBA, JOTI WAMKOSHA RAIS MAGUFULI!

Wakati baadhi ya wale wasiojituma wakidai ‘vyuma vimekaza’, wasanii; Lucas Muhavile ‘Joti’ na Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ wameonekana kumfurahisha Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kwani wameendana na dhana ya kujituma kwa jasho…