×
Tambwe: Yanga Wananidai, Ninabaki

MSHAMB-ULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi ameibuka na kuweka wazi kwamba katika kipindi hiki cha usajili hana mpango wowote wa kuondoka…

SOMA ZAIDI

Kagera: Juma Kaseja Ondoka Tu

NI kama uongozi wa Kagera Sugar umeamua kumruhusu mlinda mlango wao mahiri, Juma Kaseja, kujiunga na timu yoyote ambako ataona yeye kunamfaa baada ya kushindwana…

SOMA ZAIDI

Chirwa Ajiunga Na Ismailia Ya Misri

STRAIKA Mzambia, Obrey Chirwa, amefanikiwa kujiunga na Ismailia inyoshiriki Ligi Kuu ya Misri kwa mkataba ambao umefanywa kuwa ni wa siri.   Chirwa ambaye ameitumikia…

SOMA ZAIDISENEGAL HATARI, YAWAPIGA POLAND

SENEGAL imekuwa timu ya kwanza kuwatoa kimasomaso Waafrika baada ya jana Jumanne kuichapa Poland mabao 2-1, kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Dunia….

SOMA ZAIDI


Sasha Alia Kutishiwa Kuuawa!

VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Sasha Kassim amelazimika kukimbilia katika kituo cha polisi cha Mtongani jijini Dar akidai kuwa, mwanamke mmoja aliyemtaja kwa jina…

SOMA ZAIDI


NISHA Afunguka Kibenteni Kilivyomtesa

STAA wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka jinsi alivyoteswa na penzi la mwanaume mwenye umri mdogo ‘kibenteni’ kutokana na kumgeuza ‘ATM’ kwa…

SOMA ZAIDI


MUME MBARONI KIFO CHA MKEWE!

NI shida! Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Willibafosi William, mkazi wa Mbezi-Makabe, jijini Dar es Salaam amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kifo cha utata…

SOMA ZAIDIMBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

IKIWA ni takribani saa 24 tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Kitenngo cha Dharula, Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe imeimarika na ameruhusiwa kutoka hospitalini…

SOMA ZAIDI