Chadema Kumfikisha Mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa – Video
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hawakubaliani na maamuzi ya Msajili wa vyama wa kuwachagulia viongozi wao kinyume na Katiba yao na kuhusu kuzuia ruzuku ya chama hicho, hivyo…
