×

Matukio ya Coco Beach Idd el Hajj

Mama akijaribu kumuogesha mwanaye kwenye fukwe hizo. Vijana wakiogelea kwa kutumia ‘maboya’. Vijana wakiwa na vifaa vya kuogelea baada ya kutoka kuogelea. Michezo ya bahati

SOMA ZAIDI


Dar Live kumekucha! watoto wajiachia

Watoto wakishindana kuogelea.Watoto wa kike na wa kiume wakishindana kukimbia huku wamevaa magunia. Watoto wakiwa katika bembeaWatoto wakiendelea kuburudika kwenye bembea hizo.Hizi ni baiskeli ndogo

SOMA ZAIDI

Sikukuu Njema

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia  kila la heri Waislam na Watanzania wote katika kuadhimisha Sikukuu IDD EL HAJJI  katika

SOMA ZAIDIMagufuli: Niko fiti

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli akipiga push up jukwaani. Stori: Na Richard Bukos, Kagera NIKO fiti! Ndivyo alivyosema mgombea urais

SOMA ZAIDI


Diamond azua kizaazaa

Kundi kubwa la vijana wakigombea kumuona mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’, katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba. Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera UNAZI! Kundi kubwa la

SOMA ZAIDI

Jini Mweusi-43

Alijijengea heshima kubwa nchini Tanzania kutokana na utendaji kazi wake mkubwa aliokuwa akiufanya katika jeshi la polisi. Kutokana na umahiri wake, akapandishwa vyeo na mwisho

SOMA ZAIDI

Mwakifwamba awatemea cheche wasanii

Gladness Mallya RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amewatemea cheche wasanii na kuwataka kuachana na kuendekeza kupokea fedha za wanasiasa tu bila

SOMA ZAIDI

Kwa nini hawara ale cha mkeo?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma

SOMA ZAIDIAliens akamatwa, ahifadhiwa!

Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa duniani. Ni Bermuda Triangle inayopatikana Pwani ya Kusini-Mashariki

SOMA ZAIDI