×

Simba Yathibitisha kufikia Makubaliano ya Kuachana na Viktor Akpan

Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kuachana na kiungo Viktor Akpan aliyesajiliwa kutoka Coastal Union msimu uliopita. Kupitia taarifa...

READ MORE

Benki Kuu Yapiga Marufuku Malipo ya Fedha za Kigeni Nchini

Benki Kuu ya Tanzania imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006...

READ MORE

Tantrade na Ubalozi wa Misri Kuandaa Mikutano Ya B2B Katika Sekta ya Hotel na Vifaa Vya Nyumbani

Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis leo tarehe 20 Juni, 2023 katika ofisi za TanTrade amekutana na Maafisa kutoka...

READ MORE

TFF Yatoa onyo kali kwa Wanaoshirikiana na Wadau Waliofungiwa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawakumbusha wanafamilia ya mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na wadau ambao...

READ MORE

Kiberenge Cha Ivory Coast Mlangoni Yanga

IMEBAINIKA kuwa Yanga wapo katika mazungumzo ya kumsajili winga raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo Kouame ambaye kwa sasa anakipiga...

READ MORE

Mabasi 6 Ya Allys Star Na 3 Ya Katarama Express Yapigwa ‘Stop’ Kusafiri Usiku

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imesema imepokea taarifa na pia kuthibitisha uwepo wa baadhi ya watoa huduma wa mabasi...

READ MORE

Rais wa Yanga Awatangazia Wajumbe Mkutano Mkuu Kufanyika Juni 24, Dar

Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amewatangazia wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kuwa kutakua na Mkutano Mkuu...

READ MORE

Mrithi wa Joash Onyango Kimeeleweka Simba Ahmed Ally Afunguka

TAARIFA zinasema kuwa Simba imeanza mazungumzo rasmi na Klabu ya Cotton Sports ya Cameroon kwa ajili ya kumsajili beki wa...

READ MORE

Watu 20 wakamatwa kuhusiana na mauaji ya wanafunzi Uganda

Polisi nchini Uganda walisema Jumatatu kuwa watu 20 wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na kundi la wanamgambo linalolaumiwa kufanya shambulio...

READ MORE

Lema, Zitto Waishauri Serikali Mkataba DP World “Hatupingi Uwekezaji Bandari”- Video

SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar...

READ MORE

Rostam, Kitila Wamvaa Mbowe kwa Kauli za Ubaguzi – Video

MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, wamemshukia vikali Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe,...

READ MORE

Makampuni Kuwania Tuzo Zaidi Ya 70 Kwenye Consumer Choice Awards Afrika 2023

Dar es Salaam 18, Juni 2023. Ikiwa ni sehemu ya kusaidia walaji kutoa maoni yao juu ya ubora wa bidhaa...

READ MORE

Taasisi Ya Kumbukumbu Ya Mwalimu Nyerere Yaungwa Mkono Kwa Kuhamasisha Kujitolea Damu Ambapo Chupa 35 Zimepatikana

Pwani, 18 Juni 2023: TAASISI ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere imeungwa mkono kwa kuhamasisha watu kujitolea damu kusaidia wagonjwa...

READ MORE

Rostam, Kitila Wamshukia Vikali Mbowe Kwa Kauli za Ubaguzi

* Wamtaka awaombe radhi Watanzania kwa kuwabagua Wazanzibari * Wawaonya wanasiasa kwa kutoa kauli hatari kwa umoja wa taifa MFANYABIASHARA...

READ MORE

Kigogo Simba Aichimba Mkwara Mzito Yanga

HUKU wakiendelea na ukarabati mkubwa wa kikosi chao kupitia usajili, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try...

READ MORE

Kocha Mfaransa Julien Chevalier Ndani Ya Nyumba Yanga

SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kufikia makubaliano ya kuachana na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, imebainika kwamba, kila kukicha idadi...

READ MORE

Uganda Yajiandaa Kuwazika Wahanga wa Shambulizi la ADF

Ndugu na jamaa wa wahanga wa shambulizi la waasi wa ADF  nchini Uganda wanajiandaa kuwazika ndugu zao, huku kiongozi wa...

READ MORE

Yanga: Tumepokea Ofa Nyingi Za Mayele Tutafanya Naye Mazungumzo

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, umepokea ofa nyingi kutoka timu mbalimbali zinazohitaji huduma ya nyota wao, Fiston Mayele raia...

READ MORE

Papa Francis Arejea Kwenye Majukumu Yake Baada ya Kufanyiwa Upasuaji

Siku mbili baada ya kuondoka hospitalini, kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki, Papa Francis alianza tena desturi yake adhimu ya Jumapili,...

READ MORE

Waziri wa Elimu Aitaka Taasisi ya Elimu Tanzania Kuwatambua Walimu Wanaomudu Stadi za Ufundishaji

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuweka mazingira endelevu ya kutambua walimu...

READ MORE