×

Fagio La Robertinho, Vilio Vitatawala Simba, Ahmed Ally Azungumza na Championi

MABOSI wa Simba wamepanga kuitumia siku ya Jumatatu ijayo kwa ajili ya kutangaza mastaa wao ambao watapewa mkono wa kwaheri...

READ MORE

Luis Jose Miquissone Msimbazi Tena Viongozi Wapitisha jina Lake

IMEBAINIKA kuwa, uongozi wa Simba umelipitisha jina la Luis Jose Miquissone kuwa usajili wao mkubwa msimu ujao kupitia dirisha kubwa...

READ MORE

Kigogo Yanga Akabidhiwa Faili La Straika Wa Caf, Atengewa Dau Nono

SASA rasmi uongozi wa Yanga umempa kazi Mtendaji Mkuu (CEO) wa timu hiyo, Mzambia Andrew Ntine ya kuhakikisha anafanikisha usajili...

READ MORE

TFS Imetumia Maadhimisho Ya Wiki ya Barcode Kuhamasisha Watanzania Kujikita Katika Ufugaji Nyuki

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) imetumia Maadhimisho ya Wiki ya Barcode(Nembo ya utambuzi) kitaifa kuendelea kuhamasisha Watanzania kujikita katika...

READ MORE

Jembe Lingine Lavunja Mkataba Simba Wafikia Makubaliano

UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na beki wake wa kati, Joash Onyango ambaye raia wa nchini...

READ MORE

Kocha Mpya Aanza Na Vigingi Viwili Yanga Aandaliwa Malengo

HUKU wakiwa kwenye mchakato wa kupitia wasifu (CV) za makocha ambao wametuma maombi ya kuifundisha Yanga, uongozi wa timu hiyo...

READ MORE

Serikali Yasaini Mikataba Saba ya ujenzi wa Barabara ya Sh. 3.7 trilioni

SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7...

READ MORE

Wanafunzi 41 wauawa nchini Uganda katika shambulio la ADF

Wanamgambo wa kundi la ADF wenye uhusiano na kundi la Islamic State waliua wanafunzi 41 na kuteka nyara wengine sita...

READ MORE

Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2023/24-Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema “Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.4 kwa...

READ MORE

Charles Matondane Ateuliwa Kuwa Meneja Mpya Wa Bolt Nchini Tanzania

Dar es Salaam, Juni 2023: Kampuni ya usafiri kwa njia ya Taxi-mtandao barani Afrika Bolt, imetangaza uteuzi wa Charles Matondane...

READ MORE

Ubongo Launches New Show “Nuzo And Namia” To Promote Inclusive Learning And Celebrate Diverse African Cultures

Dar es Salaam, 19th June 2023 – Ubongo, Africa’s leading edutainment organization, is proud to announce the highly anticipated launch...

READ MORE

TanTrade na Tanroads Waboresha Miundombinu ya Barabara Katika Uwanja wa Maonesho Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Wakala wa Barabara Tanzania (TanRoads) kuboresha na kukarabati miundo mbinu ya ndani...

READ MORE

Yannick Banga Naye Huyooo, Rafiki Yake Afunguka Aomba Kuondoka Yanga

BAADA ya Kocha Nassredine Nabi kuondoka baada ya kumaliza mkataba wake Yanga, sasa ni zamu ya kiungo mkabaji, Yannick Bangala...

READ MORE

Yanga: Kocha Anayekuja Atatikisa Nchi… Kocha Jozef Vukusic Atajwa Kutua

KAMATI ya Utendaji na Mashindano ya Yanga jana usiku ilitarajiwa kukutana kwa ajili ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa...

READ MORE

Mtoa Taarifa za siri za Marekani Afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 92

Daniel Ellsberg, mtoa taarifa aliyefichua ukubwa wa ushiriki wa Marekani katika Vita vya Vietnam, amefariki akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

Kaze Aigomea Yanga Akataa Kusaini Mkataba Mpya Atoa Masharti

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi ulioanza...

READ MORE

Simba Yatangaza Mdhamini Mpya, Mkwanja Mnono Kuvunwa – Video

UONGOZI wa Simba Juni, 16 2023 umemtambulisha mdhamini mpya ambaye atasimamia masuala ya utengenezaji wa jezi za timu hiyo ambayo...

READ MORE

UN: Zaidi ya watu 400 wameuawa kati ya Januari na Machi nchini Sudan Kusini

Zaidi ya watu 400 waliuawa nchini Sudan Kusini kati ya mwezi Januari na Machi mwaka huu, huku mapigano kati ya...

READ MORE

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika; TAMWA Yaitaka Jamii Kuheshimu Haki ya Mtoto

Watanzania leo wanaungana na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, maadhimisho ya siku hii yalianza mwaka 1991 baada...

READ MORE