×

Exclusive Video: ”Barnaba Nimemroga, Nimemziba Mdomo Na Kondoo Mweusi” – Mama Kimbo Alipuka…

Kungwi na mwigizaji maarufu Bongo, Shekha Mattaka almaarufu amefunguka kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakimtuhumu kwamba amemroga msanii wa Bongo...

READ MORE

Prof Jay Aonekana Hadharani Anena ‘Hali Ilikuwa Mbaya, Nipo Imara’

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Leonard Haule ‘Profesa Jay’amerudi tena kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Paris St-Germain Yamsimamisha Lionel Messi kwa wiki mbili Bila Mshahara Baada Kukwepa Mazoezi

Klabu ya Paris Saint-Germain imemsimamisha mshambuliaji Lionel Messi kwa wiki mbili bila mshahara baada ya Nyota huyo raia ya Argentina...

READ MORE

Mchungaji Kenya Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ugaidi

Mchungaji wa Kenya alifikishwa mahakamani sakikabiliwa na tuhuma za ugaidi. Tuhuma hizo zinatokana na vifo vya zaidi ya watu 100...

READ MORE

BoT Yaipongeza NMB Kwakuwa Kinara Miongoni mwa Mabenki 44, Yazindua Tawi Kwa Mrombo

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa...

READ MORE

Serikali yasisitiza kampuni za madini kutoa fursa za ajira, zabuni kwa Watanzania

NA MWANDISHI WETU, MOROGORO NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameipongeza...

READ MORE

Waziri wa Elimu Awatakia Kheri ya Mitihani Watahiniwa Kidato Cha Sita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa watahiniwa wanaonza mitihani leo Mei 02, 2023 kuzingatia...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latembelea Ofisi za Vodacom Kukagua Usalama Sehemu za Kazi

  Jeshi la Polisi Tanzania, limefanya ziara kwenye ofisi za Kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom kukagua usalama wa...

READ MORE

Rais Samia Amerejesha Matumaini ya Watanzania- NGOs

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili...

READ MORE

Mwanasheria Ashauri Mgogoro Tanga Cement Ushughulikiwe Kwa Kuzingatia Sheria

Mgogoro wa utwaaji kiwanda Cha saruji ya Tanga uliendelea mwishoni mwa wiki wakati wakili wa kesi hiyo akiwataka wahusika kuheshimu...

READ MORE

Maandamano Mapya Yaanza Kenya: Polisi Wamwagwa Kila Kona, Waandamanaji Wafunga Barabara Kwa Mawe

Baada ya upinzani kutangaza maandamano mapya nchini Kenya, idadi kubwa ya Polisi imemwagwa katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi. Polisi wamewekwa...

READ MORE

Breaking: Waziri Wa Kazi Auawa Kwa Kupigwa Risasi Na Mlinzi Wake Nyumbani Kwake

Charles Okello Engola ni Waziri wa Kazi, Ajira na Uhusiano wa Viwanda wa Nchini Uganda ambaye anadaiwa kuuawa asubuhi ya...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Onfon Media (T) Limited – Business Developer

Onfon Media (T) Limited POSITION: BUSINESS DEVELOPER DUTIES AND RESPONSIBILITIES: • Identify and pursue new business opportunities, including sales leads...

READ MORE

Mke wa Bichuka Amwaga Machozi, Mumewe Hali Mbaya -”Kuna Hatari Kupoteza Jicho La Pili, Hali Ngumu” -Video

Muimbaji nguli wa muziki wa dansi nchini, aliyekuwa akiimbia bendi ya Mlimani Park Hassan Rehani Bichuka, ameleta kilio chake kwa...

READ MORE

Simba Yaipiga Mkwara Azam Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Azam Sports Federation

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unahitaji ushindi kwenye mchezo wao wa Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Azam Sports...

READ MORE

Wanigeria Waipa Yanga Ubingwa Wa Afrika Baada Ya Kutinga Nusu Fainali

YANGA imepewa nafasi ya kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na hata kutwaa ubingwa na Rivers United. Hii ni...

READ MORE

Wale Wapenzi Wa Simu Bei Kitonga, Itel Wana Jambo Lenu…

Ni vigumu kuamini kuwa 160,000 inaweza kukupatia simu yenye uwezo wa 4G, betri kubwa 5000mAh linalodumu mda mrefu, kioo kubwa...

READ MORE

NMB ‘Yawapiga Msasa’ Wanawake wa TUICO – Morogoro

Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Tanzania (TUICO), wametakiwa kuvutiwa na mafanikio...

READ MORE

Benki ya Absa Yatoa sh Milioni 45 Kudhamini Absa Dar City Marathon

WATANZANIA wameshauriwa kulinda afya zao Kwa kushiriki mbio na mazoezi ya viungo kwani afya ni mtaji muhimu katika shughuli za...

READ MORE

Ng’aa zaidi na Simu mpya ya Tecno Spark 10

Tecno Mobile imetoa simu mpya ya Tecno Spark 10 yenye kamera ya selfie inayong’aa ya 32 MP ambayo inakuwezesha kuongeza...

READ MORE