×

Ajali yaua Mwandishi wa Habari Ipogolo Manispaa ya Iringa – Video

Mtangazaji na Mwanahabari maarufu wa Mkoa wa Morogoro, Emmanuel Victor maarufu kwa jina la Imma One amefariki dunia kwa ajali...

READ MORE

Wanajeshi 320 wa Sudan Wakimbilia Chad Wakitoroka Mapigano nchini Mwao

Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad...

READ MORE

Submeter za Kisasa kwa Ajili ya Kudhibiti Matumizi ya Umeme kwa Njia Rahisi

✅Epuka migogoro na ugomvi unaosababishwa na namna ya kugawana au ku share umeme. ✅Submeter zetu ni suluhisho linalo aminika katika...

READ MORE

Yanga Yaenda Nigeria Kimafia Haitaki Kufanya Makosa Dhidi ya Rivers United

YANGA haitaki kufanya makosa katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Rivers United, hiyo ni baada ya kufanya umafia wakati...

READ MORE

Sakata La Uuzwaji Wa Tanga Cement,Wadau Watoa Maoni Yao

Kutokana na sakata la uuzwaji wa kampuni ya Tanga Cement kumekuwa na mijadala mingi juu ya uuzwaji wa asilimia 68.33...

READ MORE

Halotel Yatoa Tabasamu Kwa Yatima Kuelekea Sikukuu ya Eid El Fitr

Katika kuelekea Sikukuu za Eid ul Fitr, Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania imetoa msaada kwa kituo cha...

READ MORE

Kampeni Ya Vimba na Timiza Akiba Droo Ya Pili Washindi 50 Wapatikana, Wiki Ijayo Flat Sceen

Dar es Salaam, 20 Aprili 2023: Kampeni ya Vimba na Timiza Akiba inayoendeshwa na Kampuni ya simu za mkononi ya...

READ MORE

Waziri Mazrui Apongeza Jitihada Za Vodacom Kuleta Maendeleo Kwa Jamii Katika Hafla Ya Iftaar

Waziri waAfya wa Zanzibar,Mheshimiwa Nassor Mazrui ameipongeza kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na serikali...

READ MORE

Tigo Ilivyoandaa Iftar Wilayani Tunduru Kwaajili ya Wateja Wake

Samwel Chanai-Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Iringa akiteta jambo na Mwangaza Matotola-Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja (Tigo)...

READ MORE

Jeshi la Polisi Arusha Latoa Mafunzo Kwa Madereva wa Magari ya Kubeba Watalii

  Jeshi la polisi mkoani Arusha leo limeungana na wadau wengine ikiwemo Chuo cha ufundi Arusha pamoja Chama cha Mawakala...

READ MORE

Waziri wa Afya Apendekeza Kubadilishwa kwa Jina la Hospitali ya Mirembe

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amependekeza kubadilishwa kwa jina la Hospitali ya Mirembe ili wananchi waweze kujitokeza kwa wingi kupata...

READ MORE

Serikali Yatoa Msimamo Vita ya Sudan, Mapigano Yasimama Kwa Saa 24 -“Hakuna Mtanzania Aliepata Madhara”-Video

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stergomena Tax amesema hakuna Mtanzania aliyepo Sudan aliyepata madhara kutokana...

READ MORE

Putin Afanya Ziara Kwenye Makao Makuu ya Vikosi vya Russia nchini Ukraine

Kremlin imesema Jumanne kwamba Rais wa Russia Vladmir Putin alitembelea makao makuu ya vikosi vya Russia huko Ukraine. Picha ya...

READ MORE

Mayele Ampa Mamilioni Kipa wa Simba Katika Mchezo wa Kariakoo Dabi

MABOSI wa Simba, juzi walimpa kipa wao namba tatu, Ally Salim shilingi milioni 10 kama sehemu ya ahadi endapo asiporuhusu...

READ MORE

FOX News Kulipa fidia ya Dola milioni 787 kwa Kampuni ya Dominion, Iliyodai Kuharibiwa jina

Shirika la Fox linalomiliki chombo cha habari ya Fox News hapa Marekani Jumanne limekubali kulipa fidia ya dola milioni 787.5...

READ MORE

Mgunda: Bahati Yao, Yanga Wangekula Za Kutosha Ligi Kuu

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, ametamba gemu plani yao ndio imewapa matokeo mazuri ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atamba “Simba Wametufunga, Lakini Ubingwa Wasahau”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amekubali kufungwa dhidi ya Simba katika Kariakoo Dabi, lakini amesisitiza hawatakubali kuuachia ubingwa...

READ MORE

Mwanafunzi Apigwa Risasi na Kuzikwa Katika chuo Kikuu cha Sudan

Mwanafunzi mmoja ameuawa katika Chuo Kikuu cha Khartoum baada ya kupigwa risasi huku kukiwa na mapigano makali katika mji mkuu...

READ MORE

Mbunge Wa Zamani, Nimrod Mkono Afariki Dunia – Video

Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya Aprili 18, 2023...

READ MORE