×

Kampeni ya Upandaji Miti yawa Kivutio Iftar ya NMB Bungeni

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na...

READ MORE

Washindi 12 Wajizolea Zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango’

Droo ya kwanza ya msimu wa tatu wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde iitwayo  ‘NMB Bonge la Mpango –...

READ MORE

Kampuni Ya The Squid Zanzibar Limited Yaanza Mkakati Wa Masoko Kuvutia Wawekezaji

Aprili 2023 –Kampuni ya biashara ya majengo, The Squid Zanzibar Limited, imeanza mkakati wa masoko ili kuvutia wawekezaji wa kitaasisi...

READ MORE

Sekta Ya Makaa Ya Mawe Yatakiwa Kuzingatia Sheria na Miongozo ya Usalama na Afya

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa wito kwa wawekezaji na waajari wa sekta ya makaa ya...

READ MORE

Waziri Aweso Afanya Mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka Ya Maji Korogwe

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate...

READ MORE

Kitawaka Simba vs Yanga Uwanja wa Mkapa Leo, Mashabiki Watambiana – Video

SAA 11:00 jioni ya leo, sehemu kubwa ya Bara la Afrika itasimama kwa dakika tisini kushuhudia mchezo mkali wa Dabi...

READ MORE

Waziri wa Fedha Uganda Akamatwa kwa Madai ya Kuiba Mabati

MABATI yalitengwa kwa ajili ya makazi ya gharama nafuu huko Karamoja eneo ambalo halina maendeleo na halifuatiliwi huko kaskazini magharibi...

READ MORE

Exclusive: Meneja Wa Mayele Afunguka Ofa Ya Al Hilal – ”Mayele Ni Mchezaji Wa Yanga!”..

Yasmin Razack, mtaalamu wa masuala ya sheria katika michezo na msimamizi wa mchezaji Fiston Mayele, amesema hawajapata ofa yoyote kutoka...

READ MORE

Parimatch Yawakutanisha Simba na Yanga

Zikiwa zimesalia raundi chache kufikia tamati kwa michuano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch...

READ MORE

Rais Dkt. Samia: Sherehe Za Muungano Zifanyike Katika Ngazi Ya Mikoa

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza maadhimisho sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yafanyike katika ngazi...

READ MORE

Martinez, Varane Nje Msimu Mzima Manchester United

MANCHESTER United imepata pigo baada ya nyota wake muhimu wa safu ya ulinzi, Lisandro Martinez ‘The Butcher’ na Raphael Varane...

READ MORE

Exclusive Video: Msimamizi Wa Feisal Atema Cheche – ”Mchezaji Anavunja Mkataba Muda Wowote”

Yasmin Razack, mtaalamu wa masuala ya sheria katika michezo na msimamizi wa Feisal Salum, amefunguka na kumjibu mwanasheria wa Yanga...

READ MORE

Ndege ya Shirika la Emirate A380 Yatua Kwa Dharura Tanzania

Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Aprili 16, 2023 umepokea...

READ MORE

Mipira na Jezi Imetolewa na Meridianbet Kwaajili ya Wanawake

Ukimshika mkono mwanamke mmoja ni sawa sawa na kuwashika mkono wanawake wengi na hii imefanywa leo na Kampuni kubwa ya...

READ MORE

Aweso Afanya Mabadiliko Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Korogwe, Asisitiza Utatuzi wa Changamoto za Maji

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe...

READ MORE

Pamba Wanaitaka Ligi kuu, waichapa Mashujaa, Matubaini kibao ligi Kuu.

Baada ya ushindi wa 2-0 walioupata Pamba  dhidi ya Mashujaa FC kwenye dimba la Nyamagana, Kocha wa Pamba FC Yusuph...

READ MORE

Uchumi wa Tanzania Wapaa Miaka Miwili ya Rais Samia, Pato la Taifa Laongezeka

  TAKWIMU mpya za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Japan Anusurika Kifo Kufuatia Mlipuko Mkubwa wa Bomu

Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko uliofuatiwa na moshi mzito alipokuwa akitoa hotuba katika...

READ MORE

Kisa Yanga… Simba Yamficha Kiungo Wa Kazi Chafu

KUELEKEA mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Yanga, Uongozi wa kikosi cha Simba umeweka wazi kuwa kukosekana kwa kiungo...

READ MORE

Mateso Ya Mtoto Miezi 6 Yatakuliza, Mama Yake Aomba Msaada – Video

Mkazi wa Kibada Jijini Dar es Salaama, Rukia Mohamed Ally (25) ambaye kwa sasa anapitia mateso makali baada ya Mtoto...

READ MORE