×

Pata Odds za Kibabe leo na Kesho Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Kutoka Meridianbet

Hatua ya Robo fainali ya UCL itaanza leo tena kwenye viwanja tofauti Ulaya, ni mechi mbili Man City vs Bayern...

READ MORE

Kocha Rivers Amtega Kocha wa Yanga Kombe la Shirikisho Afrika

KOCHA Mkuu wa Rivers United, Stanley Eguma, ameibuka na kutoa kauli ya kejeli kwa wapinzani wake Yanga inayonolewa na Nasreddine...

READ MORE

Mfanyakazi wa Benki Awaua Wafanyakazi Wenzake Watano Kwa Kuwapiga Risasi

Mfanyakazi wa Benki ya Old City Bank iliyopo Louisville, Kentucky nchini Marekani amewaua kwa kuwapiga risasi wafanyakazi wenzake watano wa...

READ MORE

Ushindi wa Tsh Mil 26 Kutoka Meridianbet Wamfanya Apagawe

Ilikuwa ni kama ndoto iliyootwa usiku na mara ghafla inageuka kweli, kutoka kulala maskini na kuamka Tajiri mwenye mamilioni ndani,...

READ MORE

Hizi Hapa Sababu 5 za Yanga ‘Kuwazamisha’ Rivers Kombe la Shirikisho Afrika

GUMZO kwa mashabiki wa Yanga kwa sasa ni kuona wanaiondoa timu ya Rivers United kutoka Nigeria ambayo wamepangwa kukutana nayo...

READ MORE

Nahodha Atelekeza Meli Ikiwa na Wahamiaji 400 Baharini

Meli iliyokuwa imebeba takriban watu 400 imepoteza mwelekeo na kuanza kujaa maji ikiwa katika meneo ya kati ya Ugiriki na...

READ MORE

Lissu: Madudu ya Ripoti ya CAG ni Mfumo, Usiporekebishwa Yataendelea kila Mwaka – Video

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefunguka mengi kuhusiana na ripoti ya CAG na...

READ MORE

Bunge la Iran Lapendekeza Adhabu Kali kwa Wahusika wa Ukatili dhidi ya Wanawake

Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa...

READ MORE

SBL Yakabidhi Gari Mpya Kwa Mshindi Kampeni Ya ‘Kapu La Wana’

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mchengerwa (kushoto) akionyesha kadi ya gari aliyokabidhiwa mkazi wa Arusha, Shamimu Hemedi Mushi (katikati)...

READ MORE

Mwanamuziki Mkongwe, Hussein Jumbe Afariki Dunia Akitibiwa Hospitali ya Amana

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe amefariki dunia leo, April 10, 2023. Kwa mujibu wa mtu wa...

READ MORE

Wafanyabiashara Wafariki Kwa Ajali ya Gari Wakitoka Mnadani Baada ya Gari Kutumbukia Mtoni

Wafanyabiashara 13 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo, April 10, 2023, baada ya gari walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Rais Samia Apongezwa kwa Kuchukua Hatua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua...

READ MORE

Zitto Aitaka Serikali Iimilikishe ATCL Ndege Badala ya Kukodi Kutoka Wakala wa Ndege za Serikali

Kiongozi mkuu wa Chama cha Upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema utafiti uliofanywa na chama hicho kuhusu Shirika la...

READ MORE

Dalai Lama Aomba Radhi kwa Kumfanyia Mtoto wa Kiume Vitendo vya Udhalilishaji

Siku kadhaa zilizopita, kiongozi wa Wabudha, Dalai Lama ali-make headline baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha akimfanyia mtoto wa kiume...

READ MORE

Mastaa Wamtibua Kaze Yanga, Atoa Onyo Kuwavaa Rivers United

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema hajaridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake licha ya kupata ushindi na kufanikiwa...

READ MORE

Kanisa moja nchini Afrika Kusini labariki zaidi ya wanandoa 800 siku ya Pasaka

Zaidi ya wanandoa 800 walifika kanisani Jumapili ya Pasaka katika moja ya sherehe kubwa ya harusi nchini Afrika Kusini tangu...

READ MORE

Papa Francis Aombea Amani Watu wa Ukraine, Awataka Waisraeli na Wapalestina kuaminiana

Katika ujumbe wa Pasaka unaoangazia matumaini, Papa Fraancis Jana Jumapili aliwasilisha maombi kwa ajili ya watu wa Ukraine na Russia,...

READ MORE

Shirika La Mawasiliano TTCL Lawasaidia Watoto Yatima Kushiriki Pasaka

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kusherehekea Siku Kuu ya Pasaka limetoa msaada wa vyakula pamoja na vinywaji katika vituo...

READ MORE

Rais Samia Avunja Bodi ya Shirika la Reli (TRC) na Kutengua Uteuzi wa TGFA

Rais Samia Suluhu Hassan, leo April 9, 2023 ametangaza kuvunja bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na kutengua...

READ MORE

Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Umesababisha Hasara ya Trilioni 1.7 Kwa Taifa

Serikali ya Awamu ya 5 ililiingizia taifa hasara ya Dola za Marekani milioni 742.4 (zaidi ya Shilingi trilioni 1.7) kwenye...

READ MORE