×

Wikiendi Yenye Odds Kubwa ndio hii Unaweza kuwa Mshindi wa Tsh Milioni 85 za Jakipoti

Wikiendi ya kishua na Meridianbet imeanza tangu Ijumaa na itaenda mpaka Jumapili, kwa Odds kubwa mechi zote unazipata ikumbukwe Liverpool...

READ MORE

#Exclusive Video: Mtoto Wa Nabii Geordavie Monica Afunguka Kushiriki Umiss, Ndoa, Familia, Kazi…

Binti Wa Mtumishi wa Mungu Nabii Gerodavie, Monica amefanya mahojiano na Global TV Online na kufunguka maisha yake, ndoa na...

READ MORE

Mshambuliaji wa Simba Jean Baleke Hakamatiki, Amkalisha Musonda wa Yanga

USAJILI wa Simba kwa mshambuliaji Mkongomani, Jean Baleke umeonekana kuwa bora zaidi ya straika wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda. Hiyo...

READ MORE

Rais wa zamani wa Mauritania Akana Mashtaka ya Ufisadi Dhidi Yake

Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz Aprili 6, 2023 amekanusha mashtaka ya ufisadi na kujitajirisha kwa njia...

READ MORE

Yanga Yasogezewa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika

LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini...

READ MORE

Ndege Ya KLM Kushindwa Kutua Uwanja wa KIA Serikali Yatoa Tamko -Video

Kufuatia kushindwa kutua kwa ndege ya Shirika la KLM katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa KIA na kwenda nchini...

READ MORE

Helikopta ya Kisheshi ya Japan Yatoweka Kwenye Bahari Karibu na Taiwan

Walinzi wa bahari wa Japan wanaendelea na operesheni ya kutafuta na kuokoa ndege ya helikopta ya kijeshi iliyotoweka kwenye mitambo...

READ MORE

Simanzi! Wanandoa Waliofariki Kwa Ajali Ya Kugonga Kichwa Cha Treni Wazikwa Sinza, Ndugu Wasimulia – Video

Simanzi imetawala Aprili 06, 2023 wakati wa maziko ya aliyekuwa Mhandishi wa Wizara ya Maji, Hussein Chilala na mkewe, Furaha...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Duka la Kubashiri Posta Jijini Dar

Jijini Dar es salaam kunazidi kupambwa na rangi nyekundu ya Meridianbet ambapo maduka kibao yanazidi kuzinduliwa kila mwezi na sasa...

READ MORE

CAF Yamzuia Kiungo Wa Mabao Ya Faulo Kutua Yanga

                                                                                                         Bruno Gomes MMILIKI wa Singida Big Stars, amesitisha mipango ya kumuachia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Bruno Gomes...

READ MORE

Winga wa TP Mazembe Kinzumbi Aiwahi Kambi Yanga

WINGA wa TP Mazembe ya DR Congo, Phillipe Kinzumbi, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutua nchini tayari kwa kuingia kambini...

READ MORE

Taarifa Ya CAG Yabaini Madudu, Mabilioni Yapigwa, Halmashauri Kichaka Cha Wapigaji.. -Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere amezungumza na wanahabari Aprili 06, 2023 akieleza kuhusu...

READ MORE

Spika Tulia Atoa Maagizo Serikalini Ajira za Watumishi Wanaojitolea

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Aionya Arsenal EPL… Atamba Kuibuka na Ushindi Jumapili Hii

JURGEN Klopp, amesisitiza kuwa, wana nafasi kubwa ya kuwapiga vinara wa Premier League, Arsenal, wikiendi hii. Jumapili ya wikiendi hii,...

READ MORE

Waziri wa Fedha na Mipango Awasilisha Ripoti ya CAG Bungeni

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini...

READ MORE

Senzo Mbatha Aiona Yanga Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

MTENDAJI Mkuu wa zamani wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza, amesema anaiona Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Waziri Ashtakiwa kwa Kashfa ya Wizi wa Mabati Eneo la Kaskazini-Mashariki

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Uganda ameidhinisha mashtaka ya ufisadi dhidi ya Waziri wa Masuala ya Karamoja Mary Goretti Kitutu kuhusu...

READ MORE

Putin na afisa wake wasakwa na ICC kwa madai ya kuteka watoto wa Ukraine

Afisa wa Russia ambaye ameshitakiwa pamoja na rais wa taifa hilo Vladimir Putin na mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa...

READ MORE

Makundi ya Panya Road Yaibukia Mkoani Katavi, Jeshi la Polisi Laingilia Kati na Kuwakamata 15

  Baada ya kudhibitiwa kwa kiasi kikubwa jijini Dar es Salaam, makundi ya vijana wadogo wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu...

READ MORE

Bohari ya Dawa Yanunua Mashine 140 za Kusafisha Damu kwa Wagonjwa wa Figo

  Bohari ya Dawa nchini (MSD), imenunua mashine 140 kwa ajili ya kusafisha damu kwenye figo (dialysis) ambapo mashine tano...

READ MORE