×

Rais Samia Avunja Bodi ya Shirika la Reli (TRC) na Kutengua Uteuzi wa TGFA

Rais Samia Suluhu Hassan, leo April 9, 2023 ametangaza kuvunja bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na kutengua...

READ MORE

Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) Umesababisha Hasara ya Trilioni 1.7 Kwa Taifa

Serikali ya Awamu ya 5 ililiingizia taifa hasara ya Dola za Marekani milioni 742.4 (zaidi ya Shilingi trilioni 1.7) kwenye...

READ MORE

Kama Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ni Nzuri, Rais Samia Ni Mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni...

READ MORE

Ukaguzi Maalum Wa CAG Waanika Madudu REA Kuanzia Mwaka 2015/2016 Mpaka 2019/2020

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa...

READ MORE

Meridianbet Kutoa Tsh 500,000 kwa kila goli kwa KMC Katika Michezo ya Ligi Kuu

Mdhamini Mkuu wa KMC FC inayoshiriki Ligi kuu ya NBC, Meridianbet Tanzania wameahidi kutoa Tsh 500,000/= kwa kila goli ambalo...

READ MORE

Mbakaji Maarufu wa Facebook Akamatwa Nchini Tanzania Baada ya Kutoroka Jela Afrika Kusini

Thabo Bester, ni raia wa Afrika Kusini aliyekuwa akisakwa kwa udi na uvumba kutokana na tuhuma nzito za ubakaji, wizi...

READ MORE

Mshambuliaji Wa Simba Afunguka Mazito Baada ya Kupona Amtaja Baleke

MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amesema kuwa mara baada ya kupona kutoka katika majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua sasa anapambana kuona...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Pasaka Kufanyika Viwanja Vya Leaders Club Dar, Kesho

Dar es Salaam, 8 Aprili 2023: Maandalizi ya Tamasha kubwa la Pasaka linalotarajiwa kufanyika kesho katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Toto Afrika yapata viongozi wapya

Klabu ya soka ya Toto African ya jijini Mwanza leo imefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wake wapaya  katika uchaguzi uliofanyika...

READ MORE

Biashara United Hatihati KumaLiza Ligi, Hali Ni Tete Waomba Msaada

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Afisa mtendaji mkuu wa timu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara Mariam Lima...

READ MORE

Timu ya Wasichana ya Fountain Gate Yaibuka na Ubingwa wa Bara la Afrika

Timu ya Wasichana ya Shule ya Sekondari ya Fountain Gate ya Dodoma, imeibuka mabingwa wa mashindano ya soka ya shule...

READ MORE

Watu Kadhaa Wahofiwa Kufariki Baada ya Basi la Burudani Kuacha Njia na Kugonga Daladala

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Burudani lililokuwa likitokea mkoani Tanga, kugongana...

READ MORE

Ripoti ya CAG Haionyeshi Kama Ufisadi Umezidi Nchini, Kilichozidi ni Uhuru

Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache...

READ MORE

Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Lori Kuvamia Kituo cha Waendesha Bodaboda

  Takribani watu 10 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo, April 8, 2023 katika eneo la Migori...

READ MORE

Wamiliki Wa Malori Wafunga Safari Kufuatilia Kilichokwamisha Malori Yao Zambia Na Congo DRC

Dar es Salaam, 8 Aprili 2023: Wamiliki wa malori nchini kupitia chama chao cha TAMSTOA, leo wamezungumza na wanahabari kwenye...

READ MORE

Mbrazil: Simba Tulieni, Tunaenda Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

MBRAZIL wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ jeuri, ndivyo unavyoweza kusema kwani licha ya kupangwa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco...

READ MORE

#Exclusive Video: Tariq Aliyemwagiwa Tindikali -“Mke Wa Mtu Hahusiki, Polisi Wanamjua Mtuhumiwa, Nisaidie”

Tariq Kipemba ni kijana wa Kitanzania ambaye mwaka mmoja uliopita aliripotiwa kumwagiwa tindikali na mtu aliyekuwa kwenye bodaboda mjini Moshi...

READ MORE

Mayele: Rivers Wamejileta, Hatuwaachi Hao Kombe la Shirikisho Afrika

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amewasikia wapinzani wao watakaokutana nao katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Sherekea Pasaka na Chapride Watoa Punguzo la Tsh 3000 kwa Kila Safari

Katika msimu huu wa Pasaka, kampuni ya usafiri wa kimtandao ya Chapride, inakuletea bonge la ofa la punguzo la nauli...

READ MORE

Rubani Atua Ghafla Baada ya Kuona Nyoka ‘Cobra’ Ndani ya Ndege, Apongezwa

Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra...

READ MORE