×

Airtel, Benki Ya Letshego Wazindua Vimba Na Timiza Akiba Ushinde

Dar es Salaam, Jumanne tarehe 28 Machi 2023: KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel kupitia huduma yake ya Airtel money...

READ MORE

Mo Dewji Apasua Jipu; Kuna Watu Ndani Ya Simba Wananikwamisha”Kwenye Usajili Tumepigwa” -Video

 Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘Mo’ amesema kuna watu ndani ya klabu hiyo...

READ MORE

Jesus Moloko Akinukisha Kambini Yanga Atoa Tamko Dhidi TP Mazembe

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Jesus Moloko, amesema kuwa bado hawajamaliza, kwani wanazihitaji pointi za wapinzani wao, TP Mazembe katika...

READ MORE

Shujaa wa Hoteli ya Rwanda Atua Qatar Baada ya Kuachiliwa Huru

Paul Rusesabagina, ambaye aliigiza kama shujaa katika filamu ya Hollywood Hotel Rwanda, amewasili Qatar baada ya kuachiliwa kutoka jela nchini...

READ MORE

Mshambuliaji Aua Watu 6 katika Shule ya Jimbo la Marekani la Tennessee

Mshambuliaji mwanamke Machi 27, 2023 ameua watoto watatu na watu wazima watatu katika shule ya sekondari ya kikatoliki katika jimbo...

READ MORE

Ghasia Zapamba Moto Kenya Mwanamme Apigwa Risasi Wakati wa Maandamano Kisumu

Mwanamme mmoja ambaye jina lake halija julikana aliuawa kwa kupigwa risasi siku ya Jumatatu wakati wa maandamano katika mji wa...

READ MORE

Tanasha Donna na Diamond Platnumz ‘Mondi’ Wazua Gumzo, Zari Atajwa

ETI umewahi kusikia uhawara hauna talaka? Kwa mbaliiii sanaaaa inawezekana ikawa kweli! Maana ujio wa mwimbaji Tanasha Donna kutua jijini...

READ MORE

Duka La Nne Mwezi Huu La Kubetia Lazinduliwa Kariakoo Fire Na Meridianbet

Duka la kubetia la nne kwa mwezi huu Machi limezinduliwa hii leo na Meridianbet wababe wa masuala ya ubashiri Tanzania...

READ MORE

Kasino ya Mtandaoni Meridianbet Inakupa Mtonyo zaidi!

Sub-heading: Jisajili Meridianbet na upate mizunguko 50 ya bure ya kasino ya mtandaoni! Bonyeza hapa kujisajili https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF   Huenda wewe...

READ MORE

Mmesikia… Bernard Morrison Kamili Gado, Kuwamaliza Simba

RIPOTI kutoka kwenye kambi ya Yanga zinasema kuwa kiungo wa pembeni wa klabu hiyo, Bernard Morrison ameshapona kwa asilimia 80...

READ MORE

Serikali Yapongeza Program Atamizi ya Biashara ya CBE

  SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa...

READ MORE

Polisi Wazingira Mitaa ya Nairobi Kudhibiti Maandamano Kenya

Askari wa kutuliza ghasia nchini Kenya wako katika mitaa ya mji mkuu, Nairobi, katika jitihada za kuzuia maandamano yaliyoitishwa na...

READ MORE

Unapofeli Kufanya ‘Rehearsal’ ya Ndoa, Tegemea Maumivu!

Kwa mara nyingine tunamshukuru Mungu, tunaivuta pumzi ya bure kutoka kwake. Ametupa uzima tunakutana tena Julai 17, 2023 kupeana darasa...

READ MORE

NALA Yapewa Leseni Ya Mtoa Huduma Za Malipo Na BOT, Yaahidi Kufanya Uwekezaji Wa Zaidi Ya Sh. Bilioni 2

Dar es Salaam, Mar 27, 2023NALA imepokea leseni ya mtoa huduma kwa malipo kutoka Benki Kuu ya Tanzania, ikiwa ni...

READ MORE

Naibu Waziri Mwana FA Aipongeza Benki Ya NBC Kwa Kusaidia Maendeleo Ya Michezo

Dar es Salaam, Tanzania: Machi 27, 2023 – Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma ameipongeza Benki ya...

READ MORE

Forest Rock Sloti ya kijanja Ushindi Mara 20 ya Dau Lako

Sloti ya Forest Rock           Kasino ya mtandaoni inakurudisha nyuma kwenye zama za kale, zama zile ambazo tulikua tunakaa...

READ MORE

Mama Janeth Maguful Atunukiwa Tuzo Ya Kimataifa, Mchango Wake Kwa Hayati Magufuli

Mama Janeth Magufuli, mke wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima...

READ MORE

Exlusive Video: Nicole Ajilipua – “Nimevunja Ndoa Ya Harmonize Na Sarah, Anajua Kuhudumia, Nimekula Pesa”

Mwigizaji wa Bongo Movie, Video Vixen na soshalaiti mwenye mashabiki wengi mjini, Nicole Berry amefunguka kwamba mwanaume anayekuhudumia na kukuhonga,...

READ MORE

Mayele Afunguka Kuhusu Kucheza Timu ya Taifa ya DR Congo “Ni Tukio Kubwa”

MARA baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kucheza dakika tatu za mwisho katika kikosi cha Timu ya Taifa ya DR...

READ MORE

Manyaunyau Aliyetrendi Kwa Kunywa Damu Ya Paka Afichua Utajiri Wake – ”Nina Nyumba 30” | Mpaka Home – Video

MPAKA HOME ya Global TV imefika hadi nyumbani anakoishi Manyaunyau mtaalam wa tiba za asili mwenye umaarufu mkubwa Bongo, Manyaunyau...

READ MORE