×

Zumaridi Aibua Balaa! TCRA Yatangaza Kibano Kwa Vyombo Vya Habari

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali za kisheria kwa chombo chochote cha utangazaji ambacho kitabainika kuendeela kurusha taarifa...

READ MORE

Smartlab Limited Na Ndaki Ya Habari, Mawasiliano Na Teknolojia (COICT) Wasaini Makubaliano Ya Kukuza Uvumbuzi Na Ujasiriamali

Kampuni ya Smartlab Limited, na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ndaki ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia, watangaza ushirikiano wao...

READ MORE

Baba Wa Martha Aliyeuawa Kwa Kuchomwa Moto Afunguka Mazito – ”Ni Binti Yangu ” – Video

KUFUATIA kifo cha Martha aliyechomwa moto na watu wasiojulikana, Global TV imefika nyumbani kwa baba wa Martha ambaye amefunguka juu...

READ MORE

Taasisi Ya PASS Trust Imefanya Kongamano Na Wadau Wa Kilimo Mkoani Katavi

Taasisi ya PASS Trust imefanya kongamano na wajasiriamali na wadau wote waliopo katika mnyororo wa kilimo mkoani KATAVI, ambalo linalenga...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa TikTok Kuhojiwa na Wabunge wa Marekani Alhamisi

Kampuni ya Tiktok Jumanne imechukua hatua inayoashiria kujibu mataifa ya Magharibi ambayo yamekuwa yakihoji usalama wake mitandaoni pamoja na wasi...

READ MORE

Yanga Yavitikisa Vigogo Afrika Yapanda Nafasi za Ubora Baada Kutinga Robo Fainali

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni timu hiyo kupanda nafasi za ubora kwa timu za Afrika mara baada ya...

READ MORE

Mwanahabari wa Ufaransa Aliyeshikiliwa na Wanamgambo Mali kwa Miaka Miwili Arejea Nyumbani

Mwanahabari Olivier Dubois mwenye umri wa miaka 48 kutoka Ufaranasa Jumanne amerejea nyumbani baada ya kushikiliwa kwa karibu miaka 2...

READ MORE

Raila Odinga Atangaza Maandamano Makubwa Mara Mbili Kwa Wiki Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya sasa utafanya maandamano makubwa...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Tamko Ugonjwa Ulioua Watano Kagera – ”Hauna Tiba, Ni Marburg” – Video

 Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa Maabara ya Taifa umethibitisha uwepo wa virusi vya Marburg ambavyo vinasababisha...

READ MORE

Dereva Jiunge na Chapride Ufurahie Kutokatwa Kamisheni na Kupata Mikopo

Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri inaendelea kama kawaida ambapo wateja 100...

READ MORE

TBL Yaja Na Kampeni Ya ‘Mdogomdogo’ Ikishauri Matumizi Bora ya Pombe, Yaonya Matumizi Hatari

Tanzania Breweries Limited ni kampuni kubwa zaidi ya utengenezaji wa vileo nchini na nia mbayo iko chini ya kampuni Mama...

READ MORE

Nmb Yatenga Shilingi Bil 20 Kuchangia Ukuaji Sekta Ya Kilimo

BENKI ya NMB imeamua kutenga mikopo ya Sh.bilioni 20 ambayo itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni...

READ MORE

Rais Putin: Kipaumbele cha Urusi Kwa Sasa ni Kudumisha Uhusiano zaidi na Nchi za Afrika

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kipaumbele cha Urusi kwa sasa ni kudumisha uhusiano zaidi na Nchi za Barani Afrika...

READ MORE

Kimbunga Freddy: Zaidi ya 400 Bado Hawajulikani Walipo Nchini Malawi

Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku...

READ MORE

Watu Wasiojulikana Wafukua Kaburi Usiku na Kuikata Maiti Sehemu za Siri Kisha Kuifukia

Watu wasiojulikana wamefukua kaburi na kuondoa sehemu za siri za mwili wa marehemu Ruben Kasala (74) uliozikwa majira ya saa...

READ MORE

GGML, halmashauri za Geita zasaini makubaliano ya CSR ya thamani ya Sh bilioni 19

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita,...

READ MORE

Nabi Afichua Mazito Kipigo Cha Waarabu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, sababu kubwa iliyopelekea kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Waarabu, US Monastir,...

READ MORE

Chama, Saido Wapewa Kazi Maalumu Simba Dhidi ya Raja Casablanca

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa mitambo yao yote ya kazi katika kikosi hicho akiwemo Clatous Chama na Saidi Ntibazonkiza...

READ MORE

Wolper Atoa Ahadi kwa Wema Sepetu Akipata Mimba Kumfungia Ndani… Video

    Muigizaji mkongwe nchini Tanzania, Jacqueline Wolper amemwandikia muigizaji mwenzake, Wema Sepetu akimwambia kwamba siku atapata ujauzito, atakuwa mtu...

READ MORE