×


Malaika akana kuhongwa gari

Diana Exavery ‘Malaika’ Na Andrew Carlos STAA wa Ngoma ya Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ kwa mara ya kwanza amefungukia gari jipya la kifahari analodaiwa kumiliki…

SOMA ZAIDI

Aaiii… Wewee…!

Sanura alikaa beneti na Msoba wakizungumza kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi huku kila mmoja akionesha hisia za upendo kwa mwenzake, hususan kwa kuwekeana wazi kwamba…

SOMA ZAIDI


No Picture

Shoga; usimtege mume wa mwenzio!

Asalam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo poa, namshukuru Mungu. Baada ya wiki ya jana kuzungumza nawe kwamba hakuna penzi la ulozi duniani isipokuwa…

SOMA ZAIDI

No Picture

Omotola ashinda tuzo za Mwanamke Mburudishaji

NYOTA wa filamu wa Nigeria (Nollywood) Omotola Jalade-Ekeinde, hivi karibuni ameshinda tuzo inayotolewa na wanahabari ya Mwanamke Mburudishaji (Female Entertainment Personality). Mcheza sinema huyo maarufu,…

SOMA ZAIDI

Mke, mume wazua timbwili studio za radio

Wakiwa studio. Stori:  Dustan Shekidele, Wikienda Morogoro: Kioja! Mwanamke Betina Kimbe (25) na mumewe, Emmanuel Peter (30), wamezua timbwili ‘hevi’ ndani ya Studio za Radio…

SOMA ZAIDI

Omary Katanga wa Efm asherehekea miaka 38

Omary Katanga akifungua shampeni kama ishara ya kujipongeza. Mashabiki wakigongesheana ‘cheers’. Katanga akikata keki. …Akiitambulisha timu nzima ya watangazaji wenzake wa Sports Headquarter ya EfM….

SOMA ZAIDI