×


Walinzi wa rais Burkina Faso wasalimu amri

Wanajeshi wakilinda doria katika viunga vya jiji la Ouagadougou. Walinzi wa rais waliopindua serikali nchini Burkina Faso wamekubali kurejesha madaraka kwa serikali ya kiraia na kurejea…

SOMA ZAIDI
No Picture

Mabilionea wasio na huruma 43

AIBU inakaribia kuibuka, baada ya wawekezaji wakubwa wawili walioalikwa kwa ajili ya dhifa iliyoandaliwa na rais kushindwa kutokea huku muda nao ukizidi kusonga mbele. Hakuna…

SOMA ZAIDITambwe amvaa Kiiza, ampiga mikwara

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Wilbert Molandi, Dar es Salaam LICHA ya ‘hat trick’ aliyoipiga mshambuliaji mpya wa Simba Mganda, Hamis Kiiza, lakini mshambuliaji wa…

SOMA ZAIDI


Kajala Ammwagia Zari Minoti!

Imelda Mtema KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa picha hazipandi, staa wa filamu Kajala Masanja, mwishoni…

SOMA ZAIDI

Baba amrusha mwanaye ghorofani afa!

Mabastola akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Mwandishi Wetu STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini…

SOMA ZAIDI


Kajala umepaa angalia usianguke

KWAKO mwigizaji Kajala Masanja. Mambo vipi dada yangu, kitambo kidogo hatujaonana. Vipi mishemishe zinakwenda kama kawaida?Binafsi namshukuru Mungu naendelea vizuri. Kazi zinakwenda kama kawaida, tunapambana…

SOMA ZAIDI


Shoga, uonjwe we pombe ya kienyeji?

Jamani hebu nitumieni basi mvuke salama, hivi muoaji wa kweli humuonja mwanamke ndipo amuoe kweli? Mmh! Simpendi jamani mwanamke kugeuzwa chungu cha mboga kuingiza mkono…

SOMA ZAIDI

Waoo..! kama jana vile!-10

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Hamna, si nimekwambia nilishasalimu amri we mwenyewe ndiyo umeng’ang’ania, sasa mimi  nifanyeje mama Monica. Au tuache?” aliuliza Magembe… “Noo noo! Mi nimeshachaji…

SOMA ZAIDI

Nilimpa kilema mtoto wa tajiri!-2

Ilipoishia wiki iliyopita “Baada ya kutua mizigo, moja kwa moja mama alianza kumsimulia baba juu ya yule mwanamke. Kama kuna siku niliwahi kuwa na furaha,…

SOMA ZAIDI


Unataka kujiunga na freemasonry?

Hakuna ubishi kuwa historia ya kitu chochote ni mwalimu mzuri katika maisha yetu ya kila siku. Ukishajua historia ya jambo, itakutoa kwenye giza la usichokijua….

SOMA ZAIDI