The House of Favourite Newspapers

Pam D aeleza nyimbo zake mbili zilivyobadilisha maisha yake

0

PAM D (1)

Mtangazaji wa Global TV Online na muimbaji Pamela Daffa aka Pam D.

PAM D (1) PAM D (2) PAM D (3) PAM D (4)
Mtangazaji na muimbaji Pamela Daffa aka Pam D amesema nyimbo zake mbili zimempa mafanikio makubwa.

“Wimbo wangu wa kwanza Nimempata na huu mpya nimeona kuna tofauti kubwa maana huu mpya umepokelewa vizuri sana na media japo bado sijatoa video,” ameiambia Global Publishers.
“Hicho ndicho ninachoshukuru sana. Wimbo wangu wa kwanza ulianza kufanya vizuri baada ya kutoa video na umenipa show nashukuru na kunifanya nizunguke mikoa mingi ambayo nilikuwa bado sijafika. Mfano tarehe 19 ntakuwa na show Bukoba, Muleba huko sijawahi kufika, itakuwa ndio mara yangu ya kwanza kufika huko. Nashukuru sana media ambazo zinanipa support.”

Leave A Reply