The House of Favourite Newspapers

Pam D Ft Msaga Sumu – UMEPENYA (Official Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli ameachia wimbo wake wa singeli ambao amemshirikisha Msaga Sumu unaoitwa umepenya.

  • Global Publishers App imekurahisishia sana jinsi ya kuitazama video hii.
  • Jinsi ya kuitazama, Install app ya Global Publishers, kisha ingia kwenye menu ya Global Music ujionee ngoma hii na ku-download….!!
  • Install  kupitia Android: ==>  au iOS: ==> 

Comments are closed.