‘Panya Road’ Wanawake Waibuka Dar, Wawakata Watu Mapanga, Wavamia Nyumba 21 Usiku -Video


Tukio hilo la kustaajabisha limetokea usiku wa kuamkia Aprili 24, 2022 katika mtaa wa Gogo, Kata ya Chanika jijini Dar es Salaam ambapo Panya Road hao walivamia nyumba takriban 21 kwa nyakati tofauti na kuvunja milango majira ya saa nane usiku na kuanza kupora vitu mbalimbali vya ndani kama vile radio, tv na pesa.

Kufuatia tukio hilo waandishi wetu Richard Bukos na Issa Mnally walifika maeneo hayo na kuzungumza wahanga wa tukio hilo ambao wamesimulia vijana hao walivyowavamia na kuwapora mali zao. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

4229
SWALI LA LEO
YANGA/SIMBA KIMATAIFA
Baada ya usajili wa nguvu, mechi za Siku ya Wananchi na Simba Day kisha mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Ngao ya Hisani, je, ni timu gani unaamini itafanya vizuri kimataifa?Toa comment