The House of Favourite Newspapers

Parimatch Tech Yawa GR8 Tech

0

 

Kampuni mpya ya teknolojia imeingia katika soko la kimataifa la iGaming B2B wiki hii: GR8 Tech. Kama mrithi wa Parimatch Tech – kampuni iliyotengeneza jukwaa na suluhu za uuzaji kwa chapa ya Parimatch – GR8 Tech yenye uzoefu wa miaka 30 katika soko la iGaming kwa kuzingatia ushirikiano wa muda mrefu, kujitolea, na mbinu ya moja kwa moja ya kutoa bora na teknolojia ya michezo ya

kubahatisha ili kukidhi matarajio makubwa zaidi ya wateja wake.

GR8 Tech ikitoka kwa mfumo mkubwa wa ikolojia, imebanisha kwamba wanajua namna ya kufanya kazi na wateja wa B2C na inaelewa kwa uwazi machungu na matatizo ya waendeshaji na inaweza kuyatatua kwa maendeleo yake.

“Nimefurahi na kujivunia kuona watu wa Parimatch Tech wakianza safari hii mpya ya B2B, ninahakika uzoefu na utaalam wetu chini ya mwongozo wa GR8 Tech ambao utawaruhusu kutimiza malengo yote makubwa ambayo kampuni inajiwekeaā€¯, amesema Mkurugenzi Mtendaji wa GR 8 Tech Evgen Belousov.

Aidha, Bw Belousov amesisitiza kuwa biashara ni mbio ambazo zinahitaji mshirika pekee ambaye ni GR8 ili kuweza kupata vitu vilivyokuwa vizuri na tija kwa wateja.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Parimatch Tech, Bwana Maksym Liashko amesema kuwa uundaji wa GR8 Tech ni tukio lililosubiriwa kwa muda mrefu, "sisi katika Parimatch Tech tumekuwa tukifanya kazi mara kwa mara katika 2022

Kwa upande mwingine, GR8 Tech ni mtoa huduma wa kimataifa wa B2B aliye na huduma kamili ya teknolojia kwenye biashara zilizoanzishwa za kubashiri, ikijumuisha suluhu za jukwaa la kubashiri mtandaoni, biashara ya chapa ya Parimatch, na ofa za Business-as-a-Service kwa ushirikiano wa muda mrefu.

Utaalam wa GR8 Tech kwenye sekta ya bahati nasibu upo kwa takriban miaka 30 yenye uzoefu wa uendeshaji na urithi wa chapa ya Parimatch. Mfumo wa GR8 Tech huyashughulikia mamilioni ya wachezaji wanaocheza na Parimatch na hutoa mbinu zake bora za kukuza biashara za kubashiri duniani kote.

Na kwa wale wanaopanga kuingia kwenye soko la kubashiri, wana ofa ya kipekee ya Business-as-a- Service iliyo na masuluhisho ya kiteknolojia iliyotengenezwa tayari, msaada na ushauri kuhusu uzinduzi na uendeshaji wa biashara yako mpya ya kubashiri.

Leave A Reply