visa

PART 1: Mwandishi wa Habari za UCHUNGUZI, Mazito Aliyopitia, Yatakugusa! – Video

Huyu ni mwandishi wa habari kutoka nchini Tanzania ambaye amejikita kwenye uandishi wa habari za kichunguzi na utafiti wa mambo mbalimbali yanayotuzunguka katika jamii zetu.

Huu ni ushuhuda wake juu ya mambo mbalimbali ambayo ameyapitia katika kazi anazozifanya katika tasnia hii ya habari.

Lakini kutokana na uandishi wake mzuri wa habari za kijamii amefanikiwa kupata baadhi ya tuzo na pia alifanikiwa kuata bvaadhi ya wadehamini ambao waliona uwezo wake na wakaamua kumtia moyo kwa kile amachokifanya.

TAZAMA HAPA
Toa comment