#Part 3: Mtanzania Aliyeolewa Omani Ameziona Meseji Alizotukanwa – Afichua Ya Ndani Ya Ndoa…
Mwanadada Zanin Kikumbi amesimulia jinsi alivyompata mzee wa miaka 60 na kufunga naye ndoa baada ya kuhangaika muda mrefu pindi alipokuwa anahitaji ndoa.
Zanin amesimulia kuwa mzee huyo alimpata kwa kuunganishwa naye na wakati alipokutana naye kwa mara ya kwanza wala hakuwa na wasiwasi naye.