PART ONE: Hata NIKIFA Leo, Sina HELA, Tessy ALIPANIKI Tulivyoachana – Video

KWA mara nyingine tena radio yako ya mtandaoni ambayo inafanya vizuri kwa sasa, +255 Global Radio inakuletea Exclusive Interview nyingine na Hit Maker wa ngoma ya Nibebe, Baby, Angekuona na Nyang’anya’nga, Aslay Isihaka ambaye amefunguka kila ambacho unatamani kukijua kuhusu yeye Kuhusu Muziki wake, Familia yake, lakini pia ugomvi wake na Prodyuza wake Zesty.

 

Aslay anmatarajia kufanya shoo ya kibabe siku ya Pasaka katika ukumbi wa Taifa wa Burudani (DAR LIVE) Uliopo Mbagala jijini Dar ambapo atasindikizwa na wakali kibao akiwemo, Osama na Podo wakali wa Kiswaswadu, Jay Melody mkali wa Zeze, Malkia wa Mipasho (Khadija Kopa), Young Tuso, Mzee wa Bwax, Easy Man na wengine.

 

Kwa kiingilio cha Elfu Saba (7000) Tu utaweza kupata burudani kutoka kwa wasanii wote hao,,,,,bila kusahau Suprise ya wasanii wengine wakubwa!

MSIKIE ASLAY AKIFUNGUKA HAPA

Loading...

Toa comment