The House of Favourite Newspapers

#Part2: Kumbuka Afichua Alichofanyiwa Na Mwamposa,Tangu Siku Hiyo Sijamuacha Mungu | Hard Talk

0

Mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina lake hapa mjini, Kumbuka ameelezea jinsi mtumishi wa Mungu Mwamposa alivyomuita madhabahuni na kumueleza shida zake.

Kumbuka ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha kupitia kipindi cha Hard Talk.
“Mwamposa alinambia Mungu ana kibali na wewe kuna watu wanashindana na wewe ila wewe hushindani nao.”

Kumbuka ameongeza kuwa mara tu baada ya kutoka kanisani kwa Mtumishi Mwamposa alipata kazi ambayo aliiomba kwa muda mrefu.

Leave A Reply