The House of Favourite Newspapers

#Part2: Mtanzania Aolewa Na Mzee Omani, Awekwa Jela Siku 13, Ubalozi Wamzungusha Passport Yake – Video

0

Mwanadada Zanin Kikumbi amesimulia magumu aliyokutana nayo Oman alikoenda kufanya kazi na kuwashauri wenye ndoto za kwenda huko, wahakikishe maisha yamewashinda kabisa kwani kuna mateso makali.

Zanin amesimulia kwamba amewahi kushuhudia mwenzake akiwa amelazwa kwenye banda la mbuzi na mwajiri wake.

Mtanzania Aliyepewa Kesi Na Bosi Wake Omani – Ajikuta Kwenye Mikono Hatari – Video

Leave A Reply