The House of Favourite Newspapers

Pasua Anga na Mzigo wa Meridianbet April ya Leo

0

Ndugu mteja wa meridianbet mwezi mpya umeanza na wewe inatakiwa uanze mwezi huo ukiwa na maokoto. Je unajiuliza utayatoa wapi hayo maokoto?. Jibu lako lipo hapa suka jamvi lako na ubashiri hapa mechi za leo.

Tukianza na SERIE A, kutakuwa na mechi za kukata na shoka kabisa Cagliari atakiwasha dhidi ya Hellas Verona katika dimba la Unipol Domus majira ya saa 10:00 jioni na timu hizo zinafatana kwenye msimamo wa ligi yani mmoja wa 15 na mwingine wa 16. Mara ya mwisho walipokutana, Verona alishinda. Je leo hii kwa ODDS hii za 3,52 kwa 2.16 anaweza kuendeleza ubabe. Suka jamvi lako sasa na meridianbet.

Pia Sassuolo Calcio atapepetana dhidi ya Udinese Calcio huku timu zote zikiwa zinahitaji pointi tatu za maana baada ya kupoteza mechi zao zilizopita. Mechi ya mwisho walipoonana walitoshana nguvu. Mechi hii imepewa ODDS ya 2.84 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

 AS Roma ambaye anashikilia nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi yeye atakuwa ugenini kuzichapa dhidi za US Lecce ambaye yupo nafasi ya 13. Meridianbet wamempa mwenyeji 4.21 kushinda mechi hii kwa 1.89. Timu zote zimeshinda mechi zao zilizopita. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza mkeka sasa.

Vinara wa ligi Inter Milan chini ya Inzagi ambao watakuwa Giuseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujiimarisha kileleni dhidi ya Empoli ambao wapo nafasi ya 17 kwenye ligi. Inter amepewa ODDS 1.18 kushinda mechi hii kwa 13.72. Je Milan atashinda mechi hii?

Kutakuwa na mchezo mmoja wa LALIGA, Villarreal atakiwasha dhidi ya Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wamepoteza mchezo wao uliopita.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 4:00 usiku ambapo meridianbet wamempa Atletico nafasi kubwa ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 2.20 kwa 2.99, huku tofauti ya pointi kati yao ni 15. Mara ya mwisho Simeone na vijana wake walishinda. Je leo hii wanaweza kushindwa?. Beti mechi hii sasa.

Leave A Reply