Pata Mkopo wa Elimu Chapchap


Wezesha Mzawa Microfinance LTD inakupa fursa wewe Mtanzania binafsi au mtoto wako kupata mkopo kwa ajili ya ada ya masomo. Mkopo utatolewa kwa haraka zaidi na huduma bora inatolewa.

Mkopo huu binafsi unatumika kulipia ada za ngazi zote kuanzia shule za msingi, Sekondari na vyuo mbalimbali kwa riba na masharti nafuu sana.

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment