The House of Favourite Newspapers

Pata Mkopo Wa Elimu Chapchap Kwa Riba Na Masharti Nafuu

WEZESHA MZAWA MICROFINANCE LTD inakupa fursa wewe Mtanzania binafsi au mtoto wako kupata mkopo kwa ajili ya ada ya masomo. Mkopo utatolewa kwa haraka zaidi na huduma bora inatolewa. Mkopo huu binafsi unatumika kulipia ada za ngazi zote kuanzia shule za msingi, sekondari na vyuo mbalimbali kwa riba na masharti nafuu sana.

 

MASHARTI YA MKOPO

Mkopaji awe Mtanzania mwenye umri si chini ya miaka 18.

2. Mkopaji awe mfanyakazi au mfanyabiashara.

3. Mkopaji atawajibika kuleta vielelezo vya shule au chuo husika anachotaka kusoma ili ofisi iweze kuhakiki.

4. Akikidhi vigezo fedha zitalipwa moja kwa moja kwenye shule au taasisi ya elimu ambayo mhusika atasoma.

 

Karibu tukuhudumie kwa haraka ili ujenge taifa la wasomi.

Tunakujali, tunakuthamini, tunataka uwe na maisha bora zaidi.

Ofisi zetu zipo Afrika Sana karibu na King D Hotel au

piga simu namba 0752 680 665.

Email: [email protected]

NB: Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es Salaam tu.

Comments are closed.