The House of Favourite Newspapers

Pata Mpaka 97.58%Ya Dau Lako Na Sloti ya Deuces Wild Poker

0

Sloti ya Deuces Wild Poker

Habari njema kwa wapenda kasino, kama uliwahi kucheza michezo hii ya sloti Aviator, Poker, Roulette kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, basi huu mwingine hutataka ukupite kati ya michezo rahisi kabisa kucheza na kupiga mtonyo mrefu na bonasi kibao ni Sloti ya Deuces Wild Poker kwa jina rahisi ni mchezo karata.

 

Ukiingia katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, utakuta mchezo wa Deuces Wild Poker ambao ni mchezo wa karata unaopendwa na watu wengi sana duniani kote!  Mchezo huu wa Poker au karata unaweza kukurudishia mpaka 97.58% ya dau lako!

Unachezaji Sloti ya Deuces Wild Poker?

Sio hata ngumu sana kama michezo mingine, sloti hii ya Deuces Wild Poker kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unavyokua unacheza ni kama unamsukuma mlevi vile. Unaweza kujaribu sloti nyingi rahisi kama Aviator, Poker na Roulette.

Hatua ya 1: Bofya idadi ya mikono unayotaka kucheza, unaweza kuchagua kati ya 1, 5, 10, 50 au 100. Baada ya kuchagua mikono, utapelekwa kwenye sehemu yenyewe ya mchezo ambapo utaweza kuchagua kiasi cha sarafu “coin” unazotaka kucheza ni kuanzia 1 mpaka 5 lakini kila mstari una kiwango chake cha sarafu. Weka kiwango unachotaka ukiwa unategemea ushindi mkubwa kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni!

Hatua ya 2: Anza kucheza kwa kubonyeza  kitufe cha “Deal” ambacho kitakupa karata tano mkononi, unaweza kuchagua zile za kucheza na zile za kuzihifadhi kwa mzunguko unaofuata. Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa kushirikiana na Habanero wamekupa chaguo la “Auto Hold” ambalo linakusaidia kuchagua karata za kuhifadhi pembeni kwa matumizi ya baadae ya sloti hii.

Ukishaanzisha mchezo, subiri ushindi mkubwa! Usisahau karata ulizozihifadhi zinaweza kutumika na kukupa mpaka ushindi wa mara 250 papo hapo.

Ingia mchezoni na hatojutia kuijachagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti kibao za kijanja kama Aviator, Poker, Roulette inayokupa bonasi kibao, kwa wewe unayebashiri mubashara soka, mtandaoni au bila bando au kupitia kwenye duka la ubashiri unapata odds kubwa na machaguo kibao.

Leave A Reply