Patoranking akana kuwa na mtoto!

Patoranking1STAA wa muziki Naija, Patrick Nnaemeka Okorie ‘Patoranking’ juzikati alikuja juu baada ya kuambiwa kuwa ana mtoto.

Kung’aka huko kumekuja ikiwa ni siku chache tangu staa huyo atundike picha kwenye mitandao zikimuonesha mtoto mdogo ambapo watu walimshangaa kwa kuficha kwamba hana mtoto wa ‘nje cup’.

“Nimezaliwa Jimbo la Ebonyi, nimeishi maisha yote ya kihuni lakini sina mtoto,” alisema Patoranking.

Mastaa kibao nchini Nigeria wana watoto nje ya ndoa, nao ni Davido, Flavour, Ice Prince pamoja na Timaya.

Loading...

Toa comment