The House of Favourite Newspapers
gunners X

Patoranking Awasha Moto Dar

1Patoranking akifanya makamuzi mbele ya mashabiki waliojitokeza kuangalia shoo hiyo.

2Msanii kutoka lebo ya Endless Fame, Mirror (katikati), akifanya makamuzi na wanenguaji  wake.

3Baadhi ya warembo waliopata nafasi ya kwenda kushuhudia shoo hiyo wakiwa kwenye pozi ndani ya Fukwe za Escape One.

4Vijana wa mjini wakiwa katika ‘swagger’ zao ndani ya Fukwe za Escape One wakati Patoranking akipagawisha jukwaani hapo.

STAA wa Ngoma ya My Woman My Everthing kutoka nchini Nigeria, Patrick Nnaemeka Okorie ‘Patoranking’, usiku wa kuamkia  leo amewasha moto wa hatari katika Fukwe za Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Katika usiku huo uliotambulika kama Friday Night Fever, Patoranking alisindikizwa na wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva akiwemo msanii zao la Endless Fame, Mirror ambaye alianza kupanda jukwaa hilo na kukonga nyoyo za mashabiki hao.

Habari/Picha: Musa Mateja/GPL.

Comments are closed.