Penati ya Simba Ilivyozua Utata FC Platinum – Video
Katikati ya mechi ya SIMBA SC vs FC PLATINUM, kumeibuka utata uliosababisha mechi kusimama kwa zaidi ya dakika tatu, kutokana na wachezaji wa FC Platinum kuikataa penalti ambayo refa alipitisha ipigwe kuelekezwa kwenya lango lao.