PENNY:NISIPEKUE SIMU YA MCHUMBA ? THUBUTU

Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusini cha Swahili Magic, Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’ amesema kuwa ni vigumu mno kuacha kupekua simu ya mpenzi wake, labda mambo hayo ataacha akiingia kwenye ndoa.  Akizungumza na Risasi Jumatano, Penny alisema kuwa kuhusu kuacha kuchunguza Simu ya mpenzi wake kwa kipindi hiki ambacho hajaingia kwenye ndoa ni ngumu mno kwa sababu kuvumilia vimeseji vikiingia.

“Jamani mambo ya kutokagua simu za wapenzi wanaweza wanandoa sisi ambao hatujaolewa hayatuhusu kabisa,” alisema Penny.


Loading...

Toa comment