The House of Favourite Newspapers

Petit man atibua sapraizi ya Iyobo

0

Stori: Gladness Mallya
Dansa wa Diamond, Moze Iyobo ametibuliwa sapraizi aliyotaka kuifanya kwa mwanaye Cookie baada ya mshkaji wa Wema Sepetu, Petit Man kujipiga picha akiwa na mtoto huyo kisha kuiposti kwenye mtandao.

Ilikuwa hivi, Iyobo na mpenzi wake Aunt Ezekiel walikuwa wamepanga waioneshe sura ya mtoto wao huyo kwenye siku yake ya kuzaliwa kama saprazi lakini hivi karibuni Aunt alipokwenda na mwanaye huyo kwenye ‘bethidei’ ya mtoto wa Petit aitwaye Taraj, Petit akapiga picha akiwa na Cookie kisha kuiposti kwenye mtandao wa Insta.

Basi unaambiwa Iyobo na Aunt wakamaindi lakini ndiyo hivyo tena wakawa wameshatibuliwa mchongo wao

Leave A Reply