The House of Favourite Newspapers

Petit Man, Lynn wanaswa kwenye pozi tata

MENEJA wa wasanii Bongo, Hamad Manungwa ‘Petit Man’ na Video Queen, Irene Hilary ‘Lynn’ wamenaswa wakiwa kwenye pozi tata lililotawaliwa na utulivu huku mambo mengi wakiyajadili kwa kunong’onezana sikioni.

 

Paparazi wetu aliwanasa wawili hao kutana na ndani ya Klabu ya Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar ambapo mwanamuziki, Faustina Charles ‘Nandy’ alikuwa akisheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa ‘bethidei’ samba mba na kuzindua albamu yake iitwayo African Princes.

 

Wawili hao wakiwa ukumbini hapo walione kana kuwa na kikao kizito na pozi lao kuzua mino ng’ono ndipo paparazi wetu aliwafuata ili kujua walicho kuwa wakijadiliana ambapo Petit Man alisema wako kwenye mikakati ya kikazi.

 

“Usione tuko kwenye pozi hili na tunano ng’onezana ni kwamba kuna kitu tunaandaa na Lynn na muda si mrefu tunataka kufanya bonge la sapraiz kwa mashabiki wa burudani hivyo watu wasitufi kirie vibaya,” siku yake ya kuzaliwa alisema Petit. ‘bethidei’ mba na kuzindua Wawili ukumbini alisema Petit.

Comments are closed.