The House of Favourite Newspapers

PETIT MAN: Mirror Amejipoteza Mwenyewe – Video

Wasanii wengi ni Petit Man Wakuache ambaye kwa sasa ni meneja wa wasanii kama Country Boy na Mirror,  Kupitia Exclusive Interview na Global TV, Petit Man amefinguka kuhusiana na wasanii wake hao hasa Mirror ambaye awali alikuwa mikononi mwa Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu.

Petit Man amepiga stori na Global TV ukumbi wa Mlimani City alipohudhuria katika uzinduzi wa Filamu MPYA ya Duma inayoitwa Nipe Changu.

Comments are closed.