PICHA: JPM Amsimamisha Dereva Dalaladala na Kuwasalimia Abiria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasalimu Abiria wa daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba Mjini kuelekea Karagwe Mjini waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika Kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera.

Toa comment