The House of Favourite Newspapers

Picha: Rais Magufuli kuongoza Mkutano wa18 wa Wakuu wa EAC

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuana Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea  na kumkaribisha Makamu wa Rais wa Kenya William Samoei Arap Ruto Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuanza Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na kumkaribisha Mhe. Gaston Sindimwo Makamu wa Rais wa Burundi Ikulu jijini Dar es salaam kabla ya kuanza Mkutano wa 18 wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mei 20,2017.

Leave A Reply