The House of Favourite Newspapers

Picha ya Uwoya Aliyoposti Diamond Gumzo Mtandaoni

Diamond Platnumz.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,  jana ameibua  sintofahamu mtandaoni kwa mashibiki wake na wadau wa burudani baada ya kuposti  picha ya mke wa rapa Dogo Janja, Irene Uwoya,  bila kuandika ujumbe wowote kwenye ukurasa wake wa Instagram.

 

Picha ya Irene Uwoya iliyopostiwa na Diamond Platnumz.

Watu  wengi wamekuwa wakihisi msanii huyo anatafuta kiki kupitia mrembo huyo.

 

Baadhi ya maoni mashabiki hao:

masikini_jr

Kuwa Star ili uwe na amani oa mwanamke mwenye sura ya babake kwasababu Mdogo wake dullysykes anapenda ku review mafile mazuri kama yote duh!!! Sasa janjaro kama nakuona 😂 😂 😂

saidsabin70

@evansmbesigwe hii nchi ilihitaji watu wenye akili kama wewe kaka nadhani tungepiga hatua moja au mbili kwenye uchumi tumekuwa na kizazi cha ajabu sana mpaka wanaume ni wambea yani daaaaah poor Tanzania poor people poor idea kweli kuwa kiongozi nchi kama hizi inahitaji kuwa unawaombea wananchi wako kwa mungu kila unapolala na unapoamka daaah hii ni shida kubwa sana mambo ya msingi hawasemi ujinga wanasema eti sababu bando wananunua wenyewe

Jenipher_pius

Tueleweshe tu kaka maana tuna baki tuki jiuliza maswali yasiyo na majibu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@diamondplatnumz.

armani_boy001

Yni umefanana nae kwani mwanamke mwenzio hyo ama ni nani cz kasuka kama ww amevaa kikuku kama wewe wacha kueka wake za watu boss lady kma amekuacha tulia uceke wake za watu acha usenge boss lady atarudi

shaban255

Kwani huyu jamaa akikaa kimya bila yakiki kunatatizo? Mbona yupo juu tatizo nini? Mala katoboa pua mala kavaa kikuku mala kasuka rasta zakike simuelewi hata kidogo mbona king kiba katilia haya unaenda kumposti mke wammtu bila mpango wowote bila sababu yamsingi badilika bahna punguza ushamba endelea kupiga kazi sio kutafuta kiki zisizo nampango.

Habari na Nicolaus Trac | GPL

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Comments are closed.