The House of Favourite Newspapers

Picha za Mastaa Ndani ya Ukumbi: Love Melodies and Lights Event, Leaders Club

Msanii Baraka da Prince akipita kwenye Red Carpet.

Wageni mbalimbali wakipita kwenye red carpet wakati wa shoo hiyo.

Shilole.

Wolper na Martin Kadinda wakipiga stori mbili tatu

Ni full raha.

Msanii Juma Jux kwenye red carpet.

Shilole aibu yakooo…

Idris na yeye yump yumo, mmmh….!

Kutoka kushoto na Juma Jux, Ben Pol  na Baraka da Prince kwenye stage moja.

Wakitambiana Jukwaani.

 

 

Mimi Mars katikati akiwa bize na kuchat wakat event ikiendelea.

Madansa wakifanya yao stejini.

Usiku wa kuamkia Februari 19 ulikuwa ni usiku wa burudani mwanzo mwisho… shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent imefanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wakali watatu Juma Jux, Ben Pol na Barakah Da Prince walikuwa wakikamua kwenye shoo hiyo.
Shoo ilikuwa ya ukweli… cheki Full Video hapa.

PICHA NA MUSA MATEJA  | GLOBAL TV ONLINE

Comments are closed.