Tiffa akicheza na mdogo wake, Nillan kwenye sherehe ya arobaini ya mtoto huyo wa Diamond Platnumz na Zari
Mwanamama Zari The Boss Lady alivyotokelezea kwenye 40 ya mwanaye
Mama mzazi wa Zari, akiwa amembeba mjukuu wake, Tiffa, Diamond akiwa pembeni
Zari na Diamond
Diamond
Diamond akiwa na Zari aliyembeba Nillan sambamba na Said Fella ambaye pia ni meneja wa Diamond
Rayvan akiwa na mtoto Nillan na mama yake
Rommy Jones ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii walioshikiliwa Central kwa matumizi ya madawa, naye alikuwepo.
Simba akiwa na Nillan baada ya kumtoa nje.
Shughuli ya arobaini ya mtoto Nillan wa msanii Diamond Platnumz na mwanamama Zari The Boss Lady, imefanyika leo nyumbani kwa msanii huyo, Madale jijini hapa ambapo wasanii kibao wa muziki na filamu Bongo, sambamba na mastaa mbalimbali, walihudhuria.
Hizi ni baadhi ya picha za matukio, kama zilivyokuwa zikinaswa moja kwa moja na kikosi kasi cha Global Publishers, kilichojichanganya kwenye mnuso huo.
PICHA ZOTE NA BEKKA ISSA | GLOBAL PUBLISHERS
Comments are closed.