The House of Favourite Newspapers

Harmorapa Ampokea Msanii wa Kimataifa Aliyefika Nchini kwa Ajili ya Kufanya Nae Kolabo

 

Kroctics (kushoto) Harmorapa na mwisho ni mdau wa muziki.

MWANAMUZIKI wa kimataifa ‘Kroctics’, kutoka Ubelgiji yupo nchini kwa ziara yake ya kizazi na msanii wa Bongo Fleva mwenye umaarufu mkubwa katika mitandao hapa nchini Harmorapa.

Kroctics amevutiwa na Harmorapa baada ya kuona n msanii mwenye mashabiki wengi katika mitandao ya jamii na kuamua kumfungia safari mkali huyo.

…wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.

Harmorapa akiwasalimu mashabiki wake waliofika uwanjani hapo.

 

Comments are closed.