The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Hatimaye Drake na Rihanna Wapeana Mahaba Hadharani

0

DRAKE NA RIHANNA (3) DRAKE NA RIHANNA (4) DRAKE NA RIHANNA (5) DRAKE NA RIHANNA (6)     DRAKE NA RIHANNA (11)

UBUYU huu ukufikie popote ulipo wewe shabiki wa Robyn Rihanna Fenty ‘Riahanna’ ama Aubrey Drake Graham ‘Drake’. Kwa miezi kdhaa, kumekuwepo na tetesi kuwa Rihanna na Drake wnatoka kimahaba licha ya wao kukanusha na kusema kuwa ni washkaji tu!
DRAKE NA RIHANNA (14)Jana hali imekuwa tofauti baada ya mastaa hao kuamua kuanika hadharani mahusiano yao kwa kupeana malovee mbele ya maelfu ya mashabiki waliokuwa umefurika kwenye shoo ya ugawaji wa Tuzo za VMA nchini Marekani.
DRAKE NA RIHANNA (15)Kwa sasa sio tena tetesi na mapicha picha ya Instagam tu, bali inasemekana wameamua kuwa wapenzi na kwamba wanataka wazae watoto.
DRAKE NA RIHANNA (13)Drake na Rihanna waliwashangaz watu waliohudhuria shoo hiyo iliyofanyika jana Jumapili usiku baada ya wawili hao kukumbatiana na kupigana mabusu mbele ya umati huku wakigandana kwa sekunde kadhaa kabla ya kuachiana, kuwaacha mashabiki wakishangaa huku wakisema kwa hali ilivyokuwa inaonesha wawili hao wanataka kuishi kama mke na mme.
DRAKE NA RIHANNA (10)Uhusiano waoulikole zaidi miezi michache iliyopita baada ya Rihanna kumshilikisha Drake kwenye baadhi ya nyimbo za albamu yake mpya ya AntiRihanna.
DRAKE NA RIHANNA (9)Ijumaa iliyopita, Drake alifanya sapraizi kwa kununua bango la barabarani jijini Los Angeles na kuliandika maneno ya kumtakia kila la kheri mpenzi wake Rihanna kwenye tuzo hizo za MTV Video Vanguard Award zilizofanyika Jumapili usiku.
DRAKE NA RIHANNA (8)
Alichokisema Drake sasa
“Kwa mara ya kwanza nilikutana na Robyn Fenty mwaka,” alisema Drake, akielezea video walioshuti pamoja. “Wimbo uliitwa Pon de Replay na Director wa video hiyo aliikuwa Little X.
DRAKE NA RIHANNA (12)Nilitambulishwa kwake kama mtoto anayecheza background music kwenye migahawa wakati watu wakila chakula chao cha jioni.

DRAKE NA RIHANNA (7)Siyo rahisi kuamini kuwa miaka 11 baadaye sote watatu tumefanya kazi pamoja na kutengeneza wimbo wa Rihanna Work.

DRAKE NA RIHANNA (2)
“Na sasa Dunia inamfahamu Little X kama Director X, wananifahamu mimi kama Drake na siyo yule mtoto aliyekuwa anatumbuiza kwenye migahawa. Lkini miaka 11 baadaye wananendelea kumtambua Rihanna kama Rihanna mwenyewe.”
DRAKE NA RIHANNA (1)
“Ni mwanamke ambaye nimekuwa na uhusiano naye tangu nikiwa na umri wa miaka 22” alisema Drake.

Leave A Reply