The House of Favourite Newspapers

Pichaz +Video: Mapokezi Ya Yanga Dar Usipime, Mashabiki Wajitokeza kwa Kishindo

0

Mashabiki wa Yanga wakiisubiri timu yao kabla ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Mwanza baada ya kukabidhiwa kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu  ya Tanzania Bara 2016/7.

Mashabiki  na  wachezaji wa Yanga wakiwa na kombe baada ya kutua Dar.

Shangwe zikiendelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, akiwa na kombe.

Wachezaji na viongozi wa Yanga wakiwa wamevaa jezi zao za kuonyesha kuwa Yanga bingwa 2017/17

Shabiki wa Yanga

(PICHA; RICHARD BUKOS/GPL)

Leave A Reply