The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Mastaa Walivyonoga Kwenye Video Launch ya SHUGA ya Mimi Mars

Tarehe 17 Februari 2017, Club Next Door iliyopo jijini Dar es salaam ilishuhudia uwepo wa mastaa kutoka Bongo Flevani ambao walijitokeza kushow love kwa mwanadada Merianne Mdee maarufu kama Mimi Mars ambaye kwa mara ya kwanza alikuwa anazindua kazi yake ya kwanza ‘SHUGA’ kama msanii mpya wa Bongo Fleva.

Hapa chini ninzao picha za baadhi ya mastaa waliojitokeza kumsupport Mimi Mars kwenye usiku wake muhimu. 

Elias Barnabas.

Feza Kessy

Merianne Mdee – Mimi Mars

Shettah

Mtangazaji wa Clouds FM – Perfect Crsipin

Barnaba, Shettah & Mimi Mars.

Feza Kessy

Quick Rocka

 

Rosa Ree

Merianne Mdee – Mimi Mars ni mdogo wa msanii wa kike kutoka Bongo Flevani Vanessa Mdee na pia ni msanii wa kwanza aliye chini ya lebo ya Mdee Music.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Comments are closed.