The House of Favourite Newspapers

PICHAZ: Mimi Mars Alivyokamua Uzinduzi wa Video Yake ya SHUGA

Hapa nakusogezea picha za Mimi Mars akiwa anaperform wimbo wake mpya na wa kwanza SHUGA pale Club Next Door iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.

Kutoka kwa Mars mwenyewe, tutegemee kuiona video na kuusikia wimbo wa SHUGA kwenye radio stations mbalimbali  siku ya Alhamisi wiki ijayo.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA & HILLARY DAUDI | GLOBAL PUBLISHERS

Comments are closed.