The House of Favourite Newspapers

PICHAZ: Mwenge wa Uhuru Ulivyowasili Wilaya ya Ilala, Dar

0

MAPEMA leo Mei 29, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema amepokea Mwenge wa Uhuru 2017 wilayani kwake kutoka katika Wilaya ya Kigamboni ambapo ulipokelewa katika viwanja vya Feri jijini Dar.

Mwenge huo umezindua miradi mbalimbali wilayani Ilala na Kiongozi wa Mbio za Mwenge mwaka 2017 Kitaifa, Amour Ahmad Amour.

Hafla kubwa ya mkesha kwa ajili ya mwenge wa uhuru Ilala inatarajiwa kufanyika Kariakoo Usiku wa leo.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sofia Mjema akisalimiana na Kiongozi wa Mbio za Mwenge.

Bi. Sofia Mjema akizungumza baada ya kukabidhiwa Mwenye wa Uhuru.

Leave A Reply