PICHAZ: Rosa Ree, Barnaba & Feza Kessy Walivyokamua Uzinduzi wa Video ya SHUGA ya Mimi Mars
Tarehe 17 Februari 2017, Club Next Door iliyopo jijini Dar es salaam ilishuhudia uwepo wa mastaa kutoka Bongo Flevani ambao walijitokeza kushow love kwa mwanadada Merianne Mdee maarufu kama Mimi Mars ambaye kwa mara ya kwanza alikuwa anazindua kazi yake ya kwanza ‘SHUGA’ kama msanii mpya wa Bongo Fleva.
Hapa chini ninzao picha za Barnaba, Rosa Ree na Feza Kessy kutoka The Industry wakiwa wanaperform LIVE on stage…
Rosa Ree
Barnaba
Feza Kessy
PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS
Comments are closed.