The House of Favourite Newspapers

Piga Mkwanja Kupitia Uefa, Europa League Alhamisi Hii

Alhamisi hii maelekezo ya kupata hela yapo kweney michezo ya Uefa Europa League ambayo itapigwa katika viwanja mbalimbali na imewekewa ODDS KUBWA pale kwenye tovuti ya Meridianbet.

Usikubali wiki hii iishe kinyonge kwako wakati wakali wa hizi kazi Meridianbet wameweka ODDS KUBWA na za kibabe pale kwenye tovuti yao ambazo zitakuwezesha wewe mteja wao kuweza kujipigia mkwanja wa kutosha.

Suala ni moja tu ambalo pia lipo ndani ya uwezo wako ni kutembelea tovuti ya Meridianbet na kuangalia michezo ya Uefa Europa League itakayopigwa alhamisi hii na kufanya machaguzi yako ili ujishindie mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool baada ya kushinda michezo yake miwili ya awali awamu hii watakua nyumbani katika dimba lao la Anfield kumenyana na klabu ya Toulouse ya nchini Ufaransa kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu ili waendelee kileleni kwenye kundi E.

Mabingwa wa kombe la Uefa Conference league msimu uliomalizika klabu ya Westham United wagonga nyundo kutoka jiji la London watakua ugenini nchini Ugiriki  kumenyana na klabu ya Panathaikos katika kuhakikisha wanaendelea kukaa kileleni kwenye kundi lao.

Bila kuwasahau wanafainali wa michuano hii msimu uliomalizika klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinho watakua nyumbani katika dimba lao la nyumbani la Estadio de Olympico wakiwakaribisha klabu ya Slavia Prague katika mchezo huo mkali wa michuano ya Uefa Europa League.

Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen nao watashuka dimbani kumenyana na klabu ya Qarabag FK katika mchezo mkali wa michuano hii ambao umepewa ODDS KUBWA kwa timu zote kubwa pale Meridianbet unaweka mkeka wako sasa uchukue maokoto yako na michuano ya Europa League.